Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

Pendekezo: Katibu mkuu wa CHADEMA awe Benson Kigaila

..nafasi hiyo ishikwe na mwanachama mwenye moyo na stamina ya kwenda vijijini kueneza chama.

..kwa mtizamo mwanachama huyo achaguliwe miongoni mwa wabunge wa cdm kutoka majimboni.
 
Mi nampendekeza Balozi Juma Mwapachu mtafanikiwa sana
 
salimu mwalimu hafai anaweza kuleta kanzu oficine za makao makuu kama ilivyokua zitto
 
Nampendekeza benson kigaila mkurugez wa opereshen na mafunzo kuwa katibu mkuu chadema sababu yupo nje ya bunge ataweza fanya shughul za chama vzr pia anauwezo wa ushawishi na nimzoefu wa kaz ila acoperate na bavicha ai inue upya maana ni km ciioni kwny siasa tena
Hatimaye kapata stahiki yake ingawa ni naibu.
 
Back
Top Bottom