DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Nampendekeza benson kigaila mkurugez wa opereshen na mafunzo kuwa katibu mkuu chadema sababu yupo nje ya bunge ataweza fanya shughul za chama vzr pia anauwezo wa ushawishi na nimzoefu wa kaz ila acoperate na bavicha ai inue upya maana ni km ciioni kwny siasa tena
Kigaila angefaa sana kuchukua kiti cha mwenyekiti...tatizo hajatokea ule ukanda wetu