Freshthinking
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 621
- 108
Wengi wanakuchukulia kama mdini, mimi na kuchukulia kama kibaka alietumwa kuja kuhamisha hisia za Watanzania pale ambapo wanazungumzia mambo yenye maslahi mapana kwa Taifa lao. Nenda kawaambie hao spindoctors kuwa JF wako ngangari hawa danganyiki kwani bado wataendelea kuhoji uhalili wa Mauaji ya Police yanayoratibiwa na CCM kwa lengo la kututisha tusihoji na kudai rasilimali zetu zitunufaishe sote ikiwa ni pamoja na vizazi vyetu vijavyo...
Mada nyingine zinaendelea nenda ukachangie huko. Kwani umelazimishwa kuwepo kwenye huu mjadala. Una uhuru wa kujiunga na thread unayoipenda JF.
Ukipa nafasi msikilize Nyerere kwenye you tube; aliposema amechoshwa na wazanzibari na waislamu alikuwa na maana gani kama baba wa taifa:
TUMECHOKA NA WAZANZIBARI NA UISLAM - JULIAS KAMBARAGE NYERERE - YouTube