Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

mkuu fauster! Usiku mwema.
 
Lema anaingia vikao vya kamati kuu na kujiita ni mjumbe wa kamati kuu kwa sababu mbowe ni binamu wake na anaendesha M4C ili apate pesa ya kujikimu maana mpwa kachoka mbaya baada ya kuporwa ubunge.
 
mkuu fauster! Usiku mwema.

Mwakani mkwe wa mbowe hatasikilizwa tena mbowe na slaa hana chake ndani ya chadema lazima tubadilishe ukanda na ukabila maana tumechoka na huo ubaguzi yaani mpaka madeleva wa makao makuu ni wachaga watupu hii haikubaliki hata siku moja.
 
Heche anafaa kuachiwa Ubunge wa Tarime. Mwita Waitara na Esta Matiko watafutiwe majimbo mengine ili kutomvunja moyo kamanda

Heche anafaa kuwa kuwadi wa mbowe 2013 maana jamaa atakuwa na stress sana mwakania atakovyokuwa anaoga uenyekiti na vp mnaendelea kumuandaa Lema kuwa mwenyekiti wenu wa cdm taifa?kazi njema ila mtaona nguvu ya umma inavyoshinda uongozi maslahi binafsi wa mbowe.
 
Sijawahi ona mkulya kuhadi wa wachaga kama heche toka kipindi cha marehemu chacha wangwe japo alisurubiwa ili mbowe awe mwenyekiti wa chadema.
 
Heche anafanya kazi kwa maslahi ya mbowe alie mpangishia chumba mabibo.
 
Chadema bana ! yaani mnampambanisha Zito na Heche !? Dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ! huoni haya kula nyama ya mwanao !
 
halafu wala si wengi ni wawili ama watatu kikubwa wana ac nyingi na kila moja anakot mwenzake wanajaza page pumba kibao matusi saana ila mi nasikitika mdogo wangu ZITTO kwa nini apendwe na hawa jamaa!!!!! mungu ongeza nguvu uilinde chadema dhidi ya maadui wa ndani na nje
 
Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.

Chadema bana ! yaani mnampambanisha Zito na Heche !? Dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu ! huoni haya kula nyama ya mwanao !
 
Ni hoja nzuri kwa maslahi mapana ya chama.Naamini viongozi watalichukua pendekezo hili kwa umakini mkubwa.Hongera mkuu kwa lengo lako zuri la kuimarisha chama zaidi.

Kama walivyokupa ukurugenzi wa halmashauri na bunge wakati hata kuwa mwenyekiti wa mtaa wa vunjo hujawahi!
 
Heche ni muziki mwingine kabisa mkuu; kwake yeye manenomaneo 19% ila kwa utendaji kazi uliotukuka ni 91%.

Hata siku moja mtu asidhani kwamba hatuwaoni hawa wana-CDM wanaokesha wakijituma kila leo kwa faida ya WaTanzania wote lakini bila kujikweza kila leo kwenye vyombo vya habari pasipo na ulazima.

Huyu kijana anastahili promotion kwa maoni yetu sisi tunaowatazameni huku nje ya uwanja.
 
Huwa wanakutana mamba club baada ya M4C.
 
Mfumo wa kubebana haupo,mbowe hajawa mbunge 2010 pekee, unataka kuwadanganya watu bila kaka yake heche kupiga kampeni mr mbowe angepigwa chini? Je 2000~2005 ubunge alipewa na nani?

Unavoamini eti ubunge wa mbowe haukutoka kwa wananchi? Jikaze we mtoto utachumbiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…