Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,433
- 139,501
Kasome katiba ya chadema uone jinsi mwenyekiti anavyopatikana,sio unajinyea nyea hapa.
mwambieni mihogo tupo imara,aunde chama chake aache na chetusasa kwa nini mlitaka tumpe urais wakati hata Uenyekiti hatoshi!
Inafaa awe! ili kuwe na CCM Mbili i.e A & B. Nionavyo mimi Lowassa kimwili ni Chadema ila Kiitikadi ni CCM. "A liberal is a conservative who has been arrested." - Tom Wolfe
mwambieni mihogo tupo imara,aunde chama chake aache na chetu
leo ni chama sio saccos tena?
Naona unajifariji, tulia muda ndio mwamuzi!mwambieni mihogo tupo imara,aunde chama chake aache na chetu
Kingunge awe Mwenyekiti wa Chadema,Lowassa awe makamu na Sumaye awe katibu mkuu wa chadema. Itakua safu imekamilika
Hahahaha! Chief Hansard, nimecheka sana hii safu!
Akili ya kuambiwa changanya na yako ila kwa kua ni taahira huwez!!!! Mbowe na Slaa ndo waliomleta Lowassa CDM! Hao chadema asilia waanzishe tu hatuwataki... Chadema asilia wawe wao??? Slaa mwenyw ni mamluki...na kina mtei uwaite kina nani ssa??? ACHA WASEPE TU NA MIHOGO WAO....ABIRIA AKISHUKA HUPANDA MWINGINE NA SAFAR HUENDELEA!!! Huyo slaa angekua ni kamanda wa kweli angekituliza tu na co kuinad ccm!!!! Mbona Lipumba alikaa kimya???? JAMAN CHADEMA MAMLUK MTOKE TU...chadema asilia ninaowajua mm hawakukimbia tatizo......Hongera Mbowe umepruv kua Mwanaume, una msimamo na na sio mnafik koz kwa usaliti wa kina lipumba,slaa na nccr na mikasa aliyokutana nayo EDDO ANGEKUA MTU MWINGINE ANGEMTELEKEZA ila uilicmama na hukuyumbushwa na mtu....Umeweka ubinadamu MBELE NA CIO SIASA HONGERA KWA HILO!!!! Koz at the end of the day ss wote ni binadam....SIASA ICTUFANYE KUA MBWA KOKO!!!! MBOWE NI MWANAUME WA NGUVU...WENYE HULKA ZA KIKE ZA KIMBEA NA KINAFIKI HUTUWATAKI...Pongezi kwako Mbatia tunataka watu aina yako msiobabaishwa na mtu.....