Prime Dynamics
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 551
- 251
Lowasa alisema kuwa anaenda kuchunga ng'ombe kwao Monduli. Kiu yake ilikuwa ni kuutaka urais tu
Nilidhani ulisha jiuzulu unafiki.
Lowasa alisema kuwa anaenda kuchunga ng'ombe kwao Monduli. Kiu yake ilikuwa ni kuutaka urais tu
Wewewe, na ruzuku zote zile Mbowe aaishie uenyekiti? Over his dead body. Walishamalizana na Lowassa baada ya kumruhusu agombee urais.
Kila chama kina kanuni na taratibu zake haiwezekani tu ukakurupuka eti umpe Fulani cheo,je katiba yao chadema inasemaje kuhusu ukomo wa madaraka?
Akiwa mwenyekiti watakuwa mabumunda, hawajawasoma watanzania ndo itakuwa maana yake. Yaani aliyewageuza mawazo watanzania wasiichague chadema/ukawa ndo sasa awe mwenyekiti?
Watakuwa wanajichimbia shimo zaidi, MNYIKA ANATOSHA kuwa mwenyekiti, kijana, damu inachemka na ukigeugeu wa viongozi waandamizi wa ukawa.
Lowasa na CHADEMA wanakubaliana juu ya jambomoja tu la kwenda ikulu. Ukiondoa dhana ya ikulu CHADEMA na Lowasa hakuna kinachowaunganisha. Maendeleo makubwa CHADEMA hayakuletwa naLowasa bali yaliletwa na baadhi ya wabunge wa CHADEMA pamoja na uongozi wa Dr. Slaa. Ikiwa CHADEMA inataka kumantain stutus yakenilazima mtu kama slaa apatikanetena.
Lowasa alisema kuwa anaenda kuchunga ng'ombe kwao Monduli. Kiu yake ilikuwa ni kuutaka urais tu
CDM hakuna cha uchaguzi, ukitaka kuwa mgombea Urais au Mwenyekiti ni hela yako tu!
Wafuasi wa Mbowe mnasikitisha sana, kama mlikuwa tayari kumpa Lowassa nchi mnashindwa nini kumpa Uenyekiti wa chama ili akijenge kwa maandalizi ya 2020?
Kama mnaona hafai kuwa Mwenyekiti wa chama, kwa nini mlitaka tumpe nchi mtu ambaye hammuamini Kumpa chama.
Ili kuonyesha kuwa Chadema walikuwa sahihi na walimwamini Lowassa ni vema wampe Kiti cha chama!
Lowassa apewe uenyekiti wa chama
Ole wenu wazee wa ULIPO TUPO mguse uenyekiti wa Mbowe! Huyu mzee wenu atafurushwa na kashfa kibao.
Lowassa apewe uenyekiti wa chama