Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

Ulishachuja kitambo,huna jipya ya CHADEMA hayakuhusu,endelea kulamba visigino vya Dkt Mihogo

We nani hadi unipangie mipaka ya kisiasa, Chadema ni chama cha siasa kinachojiendesha kupitia kodi zetu hivyo Mtanzania yeyote ana haki ya kukijadili bila kujali ni mfuasi wa Mbowe ama la!

Siku ukiacha kutumia akili za Mbowe ndio utajitambua.
 
Akili ya kuambiwa changanya na yako ila kwa kua ni taahira huwez!!!! Mbowe na Slaa ndo waliomleta Lowassa CDM! Hao chadema asilia waanzishe tu hatuwataki... Chadema asilia wawe wao??? Slaa mwenyw ni mamluki...na kina mtei uwaite kina nani ssa??? ACHA WASEPE TU NA MIHOGO WAO....ABIRIA AKISHUKA HUPANDA MWINGINE NA SAFAR HUENDELEA!!! Huyo slaa angekua ni kamanda wa kweli angekituliza tu na co kuinad ccm!!!! Mbona Lipumba alikaa kimya???? JAMAN CHADEMA MAMLUK MTOKE TU...chadema asilia ninaowajua mm hawakukimbia tatizo......Hongera Mbowe umepruv kua Mwanaume, una msimamo na na sio mnafik koz kwa usaliti wa kina lipumba,slaa na nccr na mikasa aliyokutana nayo EDDO ANGEKUA MTU MWINGINE ANGEMTELEKEZA ila uilicmama na hukuyumbushwa na mtu....Umeweka ubinadamu MBELE NA CIO SIASA HONGERA KWA HILO!!!! Koz at the end of the day ss wote ni binadam....SIASA ICTUFANYE KUA MBWA KOKO!!!! MBOWE NI MWANAUME WA NGUVU...WENYE HULKA ZA KIKE ZA KIMBEA NA KINAFIKI HUTUWATAKI...Pongezi kwako Mbatia tunataka watu aina yako msiobabaishwa na mtu.....

Nimeipenda!
 
Mbowe atosha, Lowassa atakuwa kwenye baraza la ushauri la wazee wa Chadema.
 
Isipokuwa mgombea uraisi, maana hapo saa yoyote gia inabadilishwa, hata ndege ikiwa angani!!
Mmmh, tatizo ni makengeza ya rubani!!
Kukiw na dharura au jambo lolote linalotokea nje ya raiba ya vikao kwa mujibu wa katiba, kuna vikao maalum vinavyoitishwa kwa ajili hiyo.
Mgombea uraisi alipitishwa na halmashauri kuu ya CDM.
 
We nani hadi unipangie mipaka ya kisiasa, Chadema ni chama cha siasa kinachojiendesha kupitia kodi zetu hivyo Mtanzania yeyote ana haki ya kukijadili bila kujali ni mfuasi wa Mbowe ama la!

Siku ukiacha kutumia akili za Mbowe ndio utajitambua.

leo ni chama sio saccos tena?
 
Zanzibar hawana rais wa Zanzibar wala rais anaewatumikia katika muungano !
kura walizopiga octoba 25 zote zilikua batili na matokeo yakafutwa kama mtoto anavyofutwa uji aliojipaka..kirahiiiiiiiiisi !

Sio ishu, pole yao. Hapa tunazungumzia uenyekiti wa Chadema...
 
Nimeshindwa kujizuia kukupongeza na kukushukuru kwa mawazo yako haya mazuri.
Nami nataraji watakubaliana na wazo lako kwa kuwa wao wanapata nguvu kutoka kwa umma na wewe na mimi ni sehemu ya umma huo.
 
nyie mnamjua au mnamsikia Dj Mbowe!!!? msitake kuharikisha kifo cha mamvi
 
Nahisi kuiunga Mkono hoja ya Lowassa kuwa m/kiti ili asukume mambo kwa busara zaidi na sio kwa jaziba Kama Mbowe.
 
Hichi chama tuliambiwa kimeuzwa kwa huyu lowassa kwa hiyo uenyekiti atajinyakulia kwa urahisi
 
Hapendwi mtu inapendwa pesa aongeze dau apewe na uenyekiti vya bure vimeisha mangi aise!!!
 
Inafaa awe! ili kuwe na CCM Mbili i.e A & B. Nionavyo mimi Lowassa kimwili ni Chadema ila Kiitikadi ni CCM. "A liberal is a conservative who has been arrested." - Tom Wolfe
 
Mbowe kiboko ya ccm!Tunaomba Mbowe awe mwenyekiti wa kudumu mpaka ccm itoke madarakani
 
Back
Top Bottom