Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

Pendekezo: Edward Lowassa awe Mwenyekiti wa CHADEMA

CDM hakuna cha uchaguzi, ukitaka kuwa mgombea Urais au Mwenyekiti ni hela yako tu!
 
Kuna hoja zingine ni shida tupu, uchaguzi ndani ya chama unafanyika lini hadi tuanze kujadili nni anafaa kuwa na cheo hicho? Mi nadhani ungempigia debe kuwa k/mkuu maana ndo nafasi iliyo wazi!!!!!, tutumie akili ktk kutoa mapendekezo ingawaje nayo yamejaa unafiki
 
Chadema ingeekua chama cha wanachama sawa lakini ni taasisi ya mzee mtei na mbowe hivo lowasa kuwa mwenyekiti labda afike bei kuinunua hiyo taasisi vinginevyo biashara yake imeishia kupewa nafasi ile ya kugombea uraisi
 
Lowassa apewe uenyekiti wa chama

hawezi kupewa kwa sababu hajaoa kwenye familia ya Mtei, mfano Bob Makani alioa dada yake na Mtei akawa M/kiti kadhalika Mbowe ameoa mtoto wa Mtei ss hivi M/kiti!
 
hawezi kupewa kwa sababu hajaoa kwenye familia ya Mtei, mfano Bob Makani alioa dada yake na Mtei akawa M/kiti kadhalika Mbowe ameoa mtoto wa Mtei ss hivi M/kiti!

Mbowe ataua mtu haki ya Mungu! Umpokonye uenyekiti! Ni hatari!
 
Viongozi wa CDM huchaguliwa kwa mujibu wa katiba ya CDM.

Isipokuwa mgombea uraisi, maana hapo saa yoyote gia inabadilishwa, hata ndege ikiwa angani!!
Mmmh, tatizo ni makengeza ya rubani!!
 
hawezi kupewa kwa sababu hajaoa kwenye familia ya Mtei, mfano Bob Makani alioa dada yake na Mtei akawa M/kiti kadhalika Mbowe ameoa mtoto wa Mtei ss hivi M/kiti!

Mkuu weka sawa hii ni kweli Bob Makani alioa Dada wa Mtei?
 
Lowasa na CHADEMA wanakubaliana juu ya jambomoja tu la kwenda ikulu.

Ukiondoa dhana ya ikulu CHADEMA na Lowasa hakuna kinachowaunganisha. Maendeleo makubwa CHADEMA hayakuletwa naLowasa bali yaliletwa na baadhi ya wabunge wa CHADEMA pamoja na uongozi wa Dr. Slaa.

Ikiwa CHADEMA inataka kumantain stutus yakenilazima mtu kama slaa apatikanetena.
 
Mkuu weka sawa hii ni kweli Bob Makani alioa Dada wa Mtei?

"Aliyeanzisha chama ni Edwin Mtei na ndiyo mwasisi wa Chadema na ndio Mwenyekiti wa kwanza wa Chama hicho,Mwenyekiti aliyefuata ni marehemu Bob Makani ambae alimuoa dada wa Mtei, na Mwenyekiti wa sasa Kamuoa mtoto wa Mtei ambae ni mwasisi na mwenyekiti wa kwanza wa chadema, sababu ya Zitto Zubeir Kabwe kutoka Chadema si aliutaka uenyekiti au siyo?"

source:Mfumo wa Chadema ni upi?! | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
Mi naona apewe ile nafas ya Dk slaaa. Alafu Mke wake apewe viti maalum . Kwani nafasi ya mwenyekiti na katibu mkuu ni ipi kubwa
 
Lowassa mwacheni apumzike anahutubia kwa dakika 5 hana nguvu,hana afya njema,mwacheni apumzike mzee wa watu
 
Akitamka tu kuhusu mambo ya uenyekiti aisee ataChacha Wangwewa haraka sana. Mwambieni ajaribu kama ana ubavu!
 
Cdm wanamatatuzo 2 makuu ama 3,

1; wanatatzo la kimfumo hasa ktk uongozi, hakuna jambo ambalo wanalifanya kwa muongozo wa katiba ila wanafanya kwa muuongozo wa mtu au kikundi fulan,-mfn, hebu rejea namna ambavyo mbowe alichaguliwa kuwa mwenyekiti, katiba inasema mihura 2. Wengine hakuna kikomo wengine 3 sasa hapo utasema unachama au unagenge la wapiga dili??

2; namna ya kupata wagombea, mpaka leo hii, ukawa na cdm hawakuwa na miongozo ni kwa jinsi gani wapete wagombea wao... walao kiasi walielewana kwa wabunge japo majimbo mengi walijikuta wanagongana..

Ila kwa urais ki ukwel, lowasa aliwavuluga, hawakutafakali tena, wakawa kama mazuzu bila kujua wanachofanya, mwisho mwenyekiti akalopoka kuwa amebadilishia GIA ANGANI tena kwa kujiamini asee huyo ni mwenyekiti wa taifa..

3; kuna jambo la ukanda kwao ambalo hawalikwepi, inapaswa waliondoe hilo, kuanzia mwenyekiti, mhazini wao na aliekuwa katibu, wote kuleeeee jamani kwanni??

Kunahaja ya cdm kutathimin mambo 2,
1; je hyu mwenyekiti anafaa kuwa mwenyekiti?? Kama yy kama yy anabadilishia Gia angani. Maana yake hana mtu wa kumshauri.

2; huyu mgombea urais alitahiniwa kweli?? Kamati kuku, mkutano mkuu na halimashauri pamoja na kamati tendaji mlijiridhisha kweli kuwa mnamgombea sahihi??

Cdm sasa ni wakati wa mabadiliko yale ambayo ni ya kweli... c kwa kubuluzwa ila kudai mabadiliko halisi..

2
 
Kila chama kina kanuni na taratibu zake haiwezekani tu ukakurupuka eti umpe Fulani cheo,je katiba yao chadema inasemaje kuhusu ukomo wa madaraka?
 
Ni ushauri poa kabisa
Mwenyekiti awe edo, Katibu awe Mbowe
 
Back
Top Bottom