Pendekezo: Changia JF kwa kugonga matangazo ya google

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
Naomba kuwahamasisha watumiaji wa JF kwamba kuna uwezekano wa kuchangia JF hata kwa kuwa tunafungua hayo matangazo ya google ambayo mara kwa mara yanaonekana katika JF. Sio lazima uyasome basi tu ilimradi ukigonga pesa inaingia. Unapokuwa unatembelea JF usisahau kufungua hayo matangazo! Hii ni kwa watumiaji wote (waliojisajili na wasiojisajili)

i1518_untitled.bmp
 
Back
Top Bottom