PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

Status
Not open for further replies.
Mwigulu apewe nafasi ya Mang'ula maana inapwaya sana kwa sasa, Peopleoooooooooooooos
 
swala siyo kumfukuza hapa swala ni kumtoa kwenye uongozi wake waweke mtu makini mwenye mvuto na atakaye iletea ccm mazuri na awe kijana ambaye hekima na busara zimemjaa mbona wako wengi ccm ambao wanaweza pewa kazi ya mwigulu na mambo yakaenda wampe hata bashe ni kijana mzuri sana na mwenye uwezo waache ubinafsi na chuki.
 
Mwigulu apewe nafasi ya Mang'ula maana inapwaya sana kwa sasa, Peopleoooooooooooooos

tongi nadhani hukitakii mema chama changu cha CCM.
Kufanya hivyo ni sawa na kumpa chizi mwenye hasira rungu kwenye nyumba ya vioo.

Kama akipewa nafasi hiyo, nina uhakika Mwigulu atampindua mwenyekiti wake.
Why? Atataka kuwa na madaraka makubwa ili aweze ku-exercise siasa zake chafu vizuri lakini pia hatataka kuongozwa moja kwa moja na mtu dhaifu kama Kikwete.
 
Last edited by a moderator:
swala siyo kumfukuza hapa swala ni kumtoa kwenye uongozi wake waweke mtu makini mwenye mvuto na atakaye iletea ccm mazuri na awe kijana ambaye hekima na busara zimemjaa mbona wako wengi ccm ambao wanaweza pewa kazi ya mwigulu na mambo yakaenda wampe hata bashe ni kijana mzuri sana na mwenye uwezo waache ubinafsi na chuki.

zamlock asante sana kwa ushauri wako, nafikiri fikra na mawazo yako hayatofautiani sana na mimi.
CCM inaweza kufanya hayo mabadiliko sasa, tusingoje mambo yazidi kuharibika zaidi.
Watu wenye uwezo wapo, sasa basi tuwape nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukimtosa mwigulu na kuwaacha watu wengine kama kina nape na nk utakuwa umefanya nini? CCM inatakiwa kuvunjwa.
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.

napingana na wazo lako mwigulu ndo mwamba wa kaskazini wa ccm na ndiyo maana mkampeleka jkt mwacheni aonyeshe maujuzi yake.ni vyema ikamfia mikononi mwake.
 
Hapana, msimtoe. Ni mtu anayeiweza kazi aliyopewa na mwenyekiti wake na katibu wake. Amefanikiwa kwa asilimia nyingi, Amekuwa mbunge, naibu katibu, waziri, spika, msomi, jaji, hakimu, shahidi wa duniani na mbinguni msemaji wa chama kwa wakati mmoja na amemudu mambo yote. Nashauri mwongezeni na Lusinde kwenye timu yake kwani anaweza pia. Wa kumtoa ni mwenyekiti wake na yupo kimya kwa yote anayofanya, inamaanisha ameridhika na anachokifanya. Msimuonee gere kijana wetu mwacheni apige kazi

Hapo penye red imenifurahisha sana kwani akiongezwa huyo Lusinde patakamilika kama Ribbery & Robben ndani ya timu ya Bayern Munich...ni kutirriiriirriikaaa tuuuu mpaka chini
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.

View attachment 99194

Jamaa anadai akikupiga ngumu moja tu huamki!
 
TanganyikaTANU naamini kweli wewe umekifia chama. Lakani watu wengine hawawezi kuelewa unachokisema. Ukweli Mwigulu ni janga la kitaifa hasa kwa CCM. Siasa zake hazijaleta tija sana hasa katika kipindi hiki cha kizazi cha digitali.

Kila anapoenda vifo vimekuwa vingi sana. Halafu ana induce wanaCCM wenzake kuamini kuwa CCM ipo juu ya sheria kwa hiyo wafanye lolote lile hawatadhurika!

Kuna haja ya kuanza kuufuatilia mwenendo wa huyu bwana kama una manufaa kwa chama.
 
Last edited by a moderator:
Hivi ukimtosa mwigulu na kuwaacha watu wengine kama kina nape na nk utakuwa umefanya nini? CCM inatakiwa kuvunjwa.

Hakikwanza nimejaribu kuwa specific hapa badala ya ku-generalised kila kitu na kila mtu.

Tofauti kubwa kati ya Nape na Mwigulu ni moja, Nape ni mropokaji sana, unaweza 'Ukamlisha' chochote kisha akaita waandishi wa habari na kuanza 'kutapika' kila kitu. Infact Nape ni mganga njaa tu ndani ya CCM japokuwa kwa sasa system ya siasa chafu ndani ya CCM imeshamCorrupt.
Mwigulu ni zaidi ya kuropoka yeye anajua ku-engineer mambo mabaya tena bila ustadi wowote.
In short wote hawafai kabisa ndani ya CCM.

Lakini kwa sasa lazima CCM imtose kwa haraka sana Mwigulu, why? Kujaribu kurudisha taswira ya CCM kijamii kwanza.

Hata Lowassa ilipaswa kufukuzwa haraka sana ndani ya CCM wakati ule ili kuondoa taswira mbaya ya CCM ya Ufisadi although mafisadi ndani ya CCM wapo wengi sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza huwezi kuwa mwanaCCM kabla hata ya maelezo yako. This is bavicha at its best.

CCM siyo movement au genge la watu wachache ambao maamuzi yanatolewa hata wakiwa kwenye vilabu vya starehe.

CCM tuna vikao na katika vikao ndiyo maamuzi yanatolewa. JF siyo ofisi za CCM. Nafikiri umekosema, huu ushauri kawape wapinzani wa CCM.

Mwigulu Nchemba ataendelea kuwawewesesha sana. It's only 2013.

Kwa sasa mmekosa hoja mbadala na mnakuja na hizi hoja zenu za kupaka watu na viongozi wa kisiasa matope lakini pia shukrani ziwaendee kwa sababu wachache wenu mmeanza kugundua kuwa kwa sasa CCM imedhithubutu. HAKUNA pa kutokea.

Toka lini bavicha ikatoa ushauri kwa baba wa demokrasia nchini (CCM).

Ushauri wenu CCM wataukubali kama mtaacha fikra za kibavicha bavicha.

Bavicha ni janga la Taifa na tuipige vita kama ukoma.

Pumpkin head.
Wanao kula boga ndio wanaofurahia.
 
Mwigulu anabaraka zote toka kwa Kikwete.

KAZA MOYO Lakini pia usisahau, CCM ni zaidi ya Kikwete. Kikwete ameikuta CCM na huenda ataondoka na kuiacha.
Kama Mwigulu ametumwa na Kikwete hilo ni lake na Kikwete ila sisi wanaCCM hatujamtuma.
 
Last edited by a moderator:
m.kiti alishamsifia kuwa anaimudu cdm, mwachen nchemba abaki kwnye nafasi yake, ndie anayechimba kaburi la chama tawala. mfano jumla ya kura kwenye chaguzi za diwani. wajitathmin.
 
Sasa litoke hili debe tupu sisem watakuwa na nani tena? Liacheni kwanza lina laana ya kuua
 
Jembe litoswe?
akuna Jembe kama mwiguku aisee, tena apewe nguvu na akina Juma Nkamia
 
Mkimtosa Mwigulu huenda akarudi tena CHINA,alikopewa yale mabomu na zile kofia zake ,na mtu wa kwanza kulipuliwa atakuwa yule aliyeanza kutoa pendekezo la yeye kutoswa

Mkuu kanisa imekujaje hapa?

Kimsingi chadema wanaomba sana Mwigulu aendelee kuiharibu ccm kwa mikono yake, maana anaisaidia chadema kukubalika kirahisi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.
Hapana mimi napingana na wewe kwa sababu zifuatazo :

CCM chama kongwe viongozi wake wengi ni wakongwe akina Msekwa, SAS, Malecela, Mukama, Wassira, Kingunge na vikongwe wengine hawawezi kumudu mikikimikiki ya vijana chipukizi wa Chadema akina Msigwa, Zitto, Lema, Heche bila kumsahau Sugu na wengine.

Kwa kuzingatia hilo mkutano wa NEC-CCM uliopita ukapendekeza watafutwe vijana wa CCM machachari watakaokuwa wanajibu mapigo ya wapinzani, ndipo M/Kiti CCM akapendekeza vijana yeye anawaita majembe akina Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, na Kinana kwa kumtosa Mukama mzee aliyetolewa Urusi kwa mbwembwe. Pia wakapendekeza watafutwe vijana toka ndani ya Chadema yenyewe wakapatikana kina Mwampamba na Shoza majembe.

Kwa maoni yangu listi hiyo ya vijana wa CCM inajitosheleza kabisa kupambana na listi ya vijana machachari wa Chadema. Mimi naona kwa siasa za sasa zilivyo Mwigulu Nchemba na group lake wanafanya kile kinachotakiwa kufanywa na vijana wa chama tawala kulinda maslahi ya chama chao kilicho madarakani, sote ni mashuhuda wa vijana wa nchi zingine kama Libya, Misri walivyokuwa wanatetea vyama tawala, kuwaondoa hao ni kurudi kwenye siasa za ustaarabu ambapo pengine litakuwa pigo kwa chama tawala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom