PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

Status
Not open for further replies.
Sawa mtoseni, super sub wenu ni nani?
Tupo watu wachache ndani ya CCM wenye uwezo wa kushika nafasi mbalimbali muhimu ndani ya CCM. Tatizo watu wabaya ndio mwenye mamlaka ya kufanya uteuzi ndani ya CCM kwa sasa, hivyo wanaishia kuteua makapi matupu.

CCM ni jungu kuu haliwezi kukosa ukoko!!
 
Teh teh hii ndio namna yenu chadema ya kujibadilisha na kujifanya wana ccm? Kwa staili hii hii ndio mlilipua bomu pale soweto ili ionekane ni serekali na ccm ndio ilihusika. Akili fupi kama ncha ya kamasi.

Haihitaji level yoyote ya elimu kujua waliofanya ugaidi walivyo wazembe! Pale ccm na polisi walichemka sana!
Mwigulu damu za watu zitamlilia sana, na tunasema mkono wa Mungu upo juu yake yeyote yule aliyefanya hila! Tunajua kwa kuwa tunasali kwa Mungu lazima hana amani moyoni mwake!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Unaonaje tukimtosa babu kwanza kwa kuogopa kuwa mstari wa mbele kwenye ugaidi?

Irrevant, Kikwete atamtosa tu mwigulu hana jinsi watanzania wamempa somo kata zote alizokwenda kusimamia uchaguzi kabamizwa
 
Kijana mdogo mwenye kiburi,dharau,majivuno na aliyelewa madaraka.....by Dr Kitila
 
Hatoswi mtu hapa,kijana anafanya kazi yake vizuri sana. Cdm wanakesha kumfikiria huyu jamaa.

Wiki mbili hazipiti Mwigulu atatoswa Kikwete hataki kwenda teh Hague anajaribu kujiokoa
 
Hatoswi mtu hapa,kijana anafanya kazi yake vizuri sana. Cdm wanakesha kumfikiria huyu jamaa.

majebere ni makosa makubwa sana kwa CCM kufanya mambo yake kwa woga huku ikiwaza Chadema tu. On doing that, we are missing the target. Samaki wako baharini ukiwaona Feri wanauzwa ujue wameletwa na wavuvi.
It is poor to do politics in that way. Kwanini? Siasa ni zaidi ya Chadema, siasa ni maisha ya watu.

CCM inabidi tufanye mambo yetu tukilenga watanzania na wala sio kuwaza chama fulani pinzani.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh hii ndio namna yenu chadema ya kujibadilisha na kujifanya wana ccm? Kwa staili hii hii ndio mlilipua bomu pale soweto ili ionekane ni serekali na ccm ndio ilihusika. Akili fupi kama ncha ya kamasi.
Muulize changonja kalowa kama mchuzi wa bata anajua polisi wake waauaji wako peupe,aibu kwa amiri jeshi mkuu ha ha ha aibu aibu
 
Nilidhani CCM walisaidia kukutibu ya magonjwa aliyoeleza Dr.Paurine, lakini inaonekana bado unaumwa. Ningekuwa mimi ningesema hapana Mwigullu ni jembe hapaswi kutoswa au ndiyo masharti uliyopewa kuwa kila uzi lazima uongee uharo? Kwakuwa ni mheheh iko siku utajinyonga

jukwaa la kisiasa habar za makabila tenaaa
 
Teh teh hii ndio namna yenu chadema ya kujibadilisha na kujifanya wana ccm? Kwa staili hii hii ndio mlilipua bomu pale soweto ili ionekane ni serekali na ccm ndio ilihusika. Akili fupi kama ncha ya kamasi.

akili zao ndogoooooo
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.

Wamtosd je wakati ndo waliomtuma kwa mbinu zao za kipumbavu na kizamani? Wote hao sikio la kufa
 
Mratibu mkuu wa siasa chafu za CCM sio Mwigulu bali Jakaya. Mwigulu ni kama Kondomu. Anatumiwa tu!!! Mvaaji wa kondomu ni Jakaya!! Sasa iwapo unataka kusafisha uchafu basi uanze na mvaaji mwenyewe!!

nani asiyejua kama wewe ni lady pepeta ya viongoz wa cdm.
 
CCM mtakapokuja kugundua kua mwiguru ni pandikizi la Chadema itakua too late.
 
Yanaitajika maamuzi magumu na makini kwa ccm ya sasa!
Ndio mkuu, ni muhimu na lazima kwa CCM kuchukua hatua tena sasa.
Watu kama Mwigulu wachape mwendo, tumeshoka kufanywa wajinga.
 
mwigulu ndo tegemeo lao wakimtosa hawana mwingine wa kuziba nafasi yake. Mwigulu ndo ana akiri kuliko wengine wote ndani ya chama hata mwekiti wao anategemea busara za mwigulu.
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.

Hapana, msimtoe. Ni mtu anayeiweza kazi aliyopewa na mwenyekiti wake na katibu wake. Amefanikiwa kwa asilimia nyingi, Amekuwa mbunge, naibu katibu, waziri, spika, msomi, jaji, hakimu, shahidi wa duniani na mbinguni msemaji wa chama kwa wakati mmoja na amemudu mambo yote. Nashauri mwongezeni na Lusinde kwenye timu yake kwani anaweza pia. Wa kumtoa ni mwenyekiti wake na yupo kimya kwa yote anayofanya, inamaanisha ameridhika na anachokifanya. Msimuonee gere kijana wetu mwacheni apige kazi
 
Mbona hamjamtosa aliyemsaliti lwakatare na kumrekodi ile video.
 
Kwanza huwezi kuwa mwanaCCM kabla hata ya maelezo yako. This is bavicha at its best.

CCM siyo movement au genge la watu wachache ambao maamuzi yanatolewa hata wakiwa kwenye vilabu vya starehe.

CCM tuna vikao na katika vikao ndiyo maamuzi yanatolewa. JF siyo ofisi za CCM. Nafikiri umekosema, huu ushauri kawape wapinzani wa CCM.

Mwigulu Nchemba ataendelea kuwawewesesha sana. It's only 2013.

Kwa sasa mmekosa hoja mbadala na mnakuja na hizi hoja zenu za kupaka watu na viongozi wa kisiasa matope lakini pia shukrani ziwaendee kwa sababu wachache wenu mmeanza kugundua kuwa kwa sasa CCM imedhithubutu. HAKUNA pa kutokea.

Toka lini bavicha ikatoa ushauri kwa baba wa demokrasia nchini (CCM).

Ushauri wenu CCM wataukubali kama mtaacha fikra za kibavicha bavicha.

Bavicha ni janga la Taifa na tuipige vita kama ukoma.
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.

CCM yenyewe haipo hawa wamecopy tu jina hili kwa sababu lina a lot of meaning to Tanzanians, kama unadhani hii iliyopo ni muendelezo wa ile CCM umeingizwa chaka, hili ni genge la kupora rasilimalil za nchi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom