- Thread starter
- #41
Waungwana tulishajua tu, hali itakwenda mrama tu.Irrevant, Kikwete atamtosa tu mwigulu hana jinsi watanzania wamempa somo kata zote alizokwenda kusimamia uchaguzi kabamizwa
Yaani mwananchi akienda kwenye mkutano mmoja tu wa Mwigulu hatamani kurudia tena kuja kumsikiliza. Ni mambo ya aibu na ajabu kabisa huwa anazungumza.
Toka nimeijua CCM ama TANU sijawahi kuona matokeo mabaya kabisa kwa CCM katika chaguzi ndogo za ngazi ya chini, ila kipindi hiki nimeshuhudia, tena mahali ambapo kampeni zinaongozwa na Mwigulu.
Kikwete huwa ni mzito na mgumu kumfukuza mteule wake ila yakimzidi huwa anawatumua kwa shingo upande.
Tabia ni moja tu, Kikwete akishinikizwa na wanaCCM wenzake huwa anachukua hatua. Alifanya kwa Makamba senior kisha kwa Mukama.
I think soon he will do the same to Mwigulu.