PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

Status
Not open for further replies.
mmmh CCM kuna mambo, naona wanatafuta mchawi wao.
Yangoswe tumwachie Ngoswe!!!
 
Muacheni aendelee kwa maana anaipa umaarufu zaidi CHADEMA kwa kuanzisha uzushi na fujo huku akijua hana ushahidi.
Pia muacheni aendelee kwa kuwa anazidi kuiua ccm.
 
Mratibu mkuu wa siasa chafu za CCM sio Mwigulu bali Jakaya. Mwigulu ni kama Kondomu. Anatumiwa tu!!! Mvaaji wa kondomu ni Jakaya!! Sasa iwapo unataka kusafisha uchafu basi uanze na mvaaji mwenyewe!!

nakubaliana na wewe mkuu,Kwa nn sisiem wanabadilisha secreatarieti yao mara kwa mara? lengo ni kutafuta mtu ambaye atafuata maelekezo ya mwenyekiti kwa vitendo,na ndio maana irrationals kama mwigulu wanapata nafasi,Vinginevyo naamini kabisa bado kuna wanasisiem weledi ila hawawezi kupewa nafasi.HATAHIVYO,KWA MPENDA MAGEUZI ATAOMBA MWIGULU NCHEMBA aendelee kuwa naibu katibu mkuu na KINANA aendelee pia,wanasaidia kuwapa watu mwanga wa nchi yao ilivyo.
 
Mwigulu Nchemba ni naibu katibu wa CCM Tanzania bara(Tanganyika!) na pia ni mbunge wa Iramba magharibi.
Mwenendo wake binafsi wa kisiasa ndio umegeuka kuwa taswira ya mwenendo wa CCM kwa ujumla kwa sasa.

Mimi na baadhi ya wanaCCM wenzangu tunaoamini katika siasa za UTU, AMANI na UUNGWANA ambazo ndio msingi wa siasa za TANU toka enzi hizo, tunapenda kutoa wito kwa mamlaka za juu za CCM kufanya maamuzi sahihi na ya haraka kwa kuamua kumtimua ndani ya CCM Mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwa sababu:

1/Ameharibu na ataendelea kuharibu taswira nzima ya CCM katika jamii kutokana na aina ya siasa anazofanya ambazo ni Matusi, Uzushi, Fujo, Hongo, Vitisho na sasa Mauaji.

2/Hasara za kiuchumi, kijamii na kisiasa ambazo CCM inazipata kutokana na utendaji duni sana wa Mwigulu kisiasa.

3/Hatari mbaya za kisiasa ambazo zinainyemelea CCM kutokana na makosa makubwa ya makusudi yanayofanywa na Mwigulu katika siasa ambayo soon wapinzani wa CCM tayari wameshaanza kuyatumia tena vizuri sana.

*Please wanaCCM wenye kuipenda kwa dhati CCM ya enzi za Nyerere(TANU), tuungane pamoja katika hili.
mtajijua na noma yenu
 
Ndo mwenye akili ndani ya ccm kwa utafiti wa CCM ndo maana akapata cheo hicho, wakimtosa mr. dhaifu si hajui kwanini tz ni maskini, hilo moja hajui mengi tu usishangae kipindi kwenye tv kilikuwa kifupi asingeweza taja yote asiyoyajua.
 
CCM wakimwondoa Mwigulu utaibuka mpasuko mkubwa sana maana yupo kwa maslahi ya watu wenye kuutaka urais kwa udi na uvumba.Lakini bado wakimwacha, chama kinapoteza mvuto mbele ya wapenda siasa safi...basi liwalo na liwe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom