Kwa hiyo mtindo huu ndo utaisaidia CUF kuingia madarakani?
Huko Mungu yuko chini siasa iko juu, eti nimtelekeze mzazi wangu mtoto wangu ama Dada yangu kisa siasa, hiyo siasa nilizaliwa nayo ama nimeikuta tu. Kilichofanywa na CCM huko Zanzibar ikishurikiana na tume ya uchaguzi si cha kuungwa mkono, ila hunigombanishi na ndugu zangu sababu tu mapenzi yao kisiasa ni tofauti na mimi. Alafu pembeni nadai haki nada Demokrasia nini sasa maana ya haki nini maana Demokrasia, eti alafu uneanda msikitini mara tano, huku kifua kimejaa chuki, wanaojifanya wanaijua dini ndiyo watenda dhambi wakubwa.
Hujanijibu bado, ulitaka wafanyeje?huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.
Wajinga hao. Wapemba wa Ilala Buguruni nendeni huko mkaungane na wasuria wa Pemba mpembuke vizuri
Hyo ndo demokrasia ssm waliyoitaka..Waache wananchi wafanye wanachoona kinawafaa mana hawana utawalaSasa nyie wananchi wa Pemba mkifanyiana hivi mnamkomesha nani?
Wanasiasa wanaendelea na maisha yao Maalim akiumwa Shein anamjulia hali wewe babu yako akifariki auendi kumzika kisa ni mwana ccm.
Kwa hiyo mtindo huu ndo utaisaidia CUF kuingia madarakani?
Haisaidii kitu kwa maneno yako wenyewe washaamua wewe unawashwa na nini?huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.
Nasaha Zangu kwa watu wa Zanzibar
Kwa atua hii mlio fikia inaonyesha jinsi gani anavyopenda na kujali mambo ya kisiasa kuliko mambo ya Dini ivi nyinyi ndugu zetu nnalifaham lengo la kuumbwa kwenu
Je nmeumbwa kwa ajili ya kushabikia vyama na Kuwapenda viongozi wa vyama kuliko hata ndugu zenu wa nyumba Moja Subhannallah hivi ndivyo Dini yetu inavyotufunza
Mtume swallallahu alayh wassallam anasema " Hakika Nimekuachieni vitu viwili hamtapotea kamwe pindi mtakapo Shikamana navyo kitabh cha Allah (Quran) na Sunna
J e hayo mnayofanyiana sasa hivi ndio kushikanamana na Quran na Sunna uko?
Allah Subhannaw wataala anasema " Shikamaneni katika kamba ya Allah wala msi farakane "
Nini Maana ya kamba ya Allah?
Amepokea Imam Muslim kutoka kwa Zeyd Ibn Arqam yakuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema
" Hakika Mimi nmekuachieni vizito viwili kimoja wapo ni kamba ya Allah nayo ni Kitabu chake Yule atakayekifuata atakuwa yupo katika uongofu na atakayekiacha atakuwa yupo katika upotevu "
Amepokea Imam Maliki katika Muwatwa kutoka kwa Abee Urayra ya kuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema " Hakika ya Allah anaridhia kwenu nyinyi mambo matatu, Mumuabudu yeye pasi na kumshirikisha na kitu chochote ,KUSHIKAMANA Katika KAMBA ya ALLAH wala msifarakane na kuwapa Nasaha wale ambao Allah amewatawalisha jambo lenu
Sasa ikuwa Dini inawataka muwekitu kimoja alafu nyinyi kwa kufuata matamanio ya nafsi zenu Hamtaki
Je iko wapi Utii wa Allah na Mtume wake?
Je uyo kiongozi ambaye nyinyi mlitaka awe Rais na Allah na Mtume wake nani mnampenda na kumtii?
Ivi huyo angekuwa Rais.yupo ikulu Je angekuwa anajua kwamba kojani kuna famiia ya mzee mfaume Leo ajala nmepekee chakula?
Kwanini mnaipa Dini mgongo na kupinduka mipaka ktk Kuwapenda viongozi wenu Subhanallah!!!
Achaneni na mambo hayo mcheni mola wenu hili ndilo mlilo umbiwa kwalo hao viongozi watazikwa makaburi yao na nyinyi makaburi yenu? Min mtaenda kumjibu Mola Wenu?
Itaendelea In Sha Allah...
Ujinga na upumbavu ni pale unapong'ang'ania madaraka ilihali wananchi hawataki. Ujinga na upumbavu ni pale unapotumia vyombo vya dola kuingia madarakani kwa nguvu. Wananchi watafikisha ujumbe kwa kupinga utawala uliopo kwa njia tofauti na mojawapo ni hiyo ya pemba. Mimi nawapongeza wapemba kwa maamuzi yaohuo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.
Hizo nasaha wapekekee ssm sio wananchi..Waliosababisha hayo yote ni wao na kwa mziki huo sijui watafanya kazi na naniNasaha Zangu kwa watu wa Zanzibar
Kwa atua hii mlio fikia inaonyesha jinsi gani anavyopenda na kujali mambo ya kisiasa kuliko mambo ya Dini ivi nyinyi ndugu zetu nnalifaham lengo la kuumbwa kwenu
Je nmeumbwa kwa ajili ya kushabikia vyama na Kuwapenda viongozi wa vyama kuliko hata ndugu zenu wa nyumba Moja Subhannallah hivi ndivyo Dini yetu inavyotufunza
Mtume swallallahu alayh wassallam anasema " Hakika Nimekuachieni vitu viwili hamtapotea kamwe pindi mtakapo Shikamana navyo kitabh cha Allah (Quran) na Sunna
J e hayo mnayofanyiana sasa hivi ndio kushikanamana na Quran na Sunna uko?
Allah Subhannaw wataala anasema " Shikamaneni katika kamba ya Allah wala msi farakane "
Nini Maana ya kamba ya Allah?
Amepokea Imam Muslim kutoka kwa Zeyd Ibn Arqam yakuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema
" Hakika Mimi nmekuachieni vizito viwili kimoja wapo ni kamba ya Allah nayo ni Kitabu chake Yule atakayekifuata atakuwa yupo katika uongofu na atakayekiacha atakuwa yupo katika upotevu "
Amepokea Imam Maliki katika Muwatwa kutoka kwa Abee Urayra ya kuwa Mtume swallallahu alayh wassallam amesema " Hakika ya Allah anaridhia kwenu nyinyi mambo matatu, Mumuabudu yeye pasi na kumshirikisha na kitu chochote ,KUSHIKAMANA Katika KAMBA ya ALLAH wala msifarakane na kuwapa Nasaha wale ambao Allah amewatawalisha jambo lenu
Sasa ikuwa Dini inawataka muwekitu kimoja alafu nyinyi kwa kufuata matamanio ya nafsi zenu Hamtaki
Je iko wapi Utii wa Allah na Mtume wake?
Je uyo kiongozi ambaye nyinyi mlitaka awe Rais na Allah na Mtume wake nani mnampenda na kumtii?
Ivi huyo angekuwa Rais.yupo ikulu Je angekuwa anajua kwamba kojani kuna famiia ya mzee mfaume Leo ajala nmepekee chakula?
Kwanini mnaipa Dini mgongo na kupinduka mipaka ktk Kuwapenda viongozi wenu Subhanallah!!!
Achaneni na mambo hayo mcheni mola wenu hili ndilo mlilo umbiwa kwalo hao viongozi watazikwa makaburi yao na nyinyi makaburi yenu? Min mtaenda kumjibu Mola Wenu?
Itaendelea In Sha Allah...
vipi umepata bwana mpemba?
huo ni ujinga na upumbavu mkubwa, nimediriki kutumia lugha hii, kwani haipendezi kwa hao ndugu, hili ni tatizo la watawaliwa kutokujua majukumu yao, kwani wao wameacha majukumu yao ss wanaingilia majukumu ya watawala, wanakomoana wao wenyewe kwa ujinga wao, lakini watawala wanakula happy kwa sababu wamewajaza ujinga, Maalim na Shen watakaa pamoja watakunywa gahawa pomoja na kuzungumza, ila nyie wajinga mnajitenga kwa upumbavu wenu.