Peeeeples'

Peeeeples'

Kchibo

Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
76
Reaction score
11
Wadau msish2shwe na title bt I just wanna say hi u ol na naomba mnipokee ndo nmetia maguu ivo.
 
Mbona umechafua carpet na miguu yako hiyo
Karibu sana
 
Dah hii njia ya kufka hapa z ful of mud bana inabd wa2 2vae rainboot bt ashanten bana.
 
Karibu sana mkuu ila sheria za JF haziruhusu kutumia vifupisho kama kwenye meseji...
 
karibu na ujisikie upo ugenini, usilete mambo ya fb huku jf!!!
 
natabili we utakuja kuwa mkari hapa janvini lakini kama sio id nyingine maana nakuona kama bishweko au IGwe.
 
karibu na ujisikie upo ugenini, usilete mambo ya fb huku jf!!!

Ahsante mkuu, nimezisoma rules vizuri.
 
Hiyo title yako ingawa herufi hazijajipanga kivile sana, but inaonyesha tu wewe ni "mwenzangu",
Mwenyeji wako nipo
 
Back
Top Bottom