Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
Hapana mkuu anamaanisha ni Buku 10 tu unakula maisha speed hadi 400Kbps kutegemea eneokiswahili bila mafumbo inamaana anaunga net ya 10,000 na ya 500 kwa siku. 25000 kwa mwezi jumla
Hapana mkuu anamaanisha ni Buku 10 tu unakula maisha speed hadi 400Kbps kutegemea eneokiswahili bila mafumbo inamaana anaunga net ya 10,000 na ya 500 kwa siku. 25000 kwa mwezi jumla
@10tsh kwa 30 dayz mwendo mdundo kkJapo hautaki PM emu elezea hapo kwenye RED maana kama maneno hayaja nyoka Vile

@10tsh kwa 30 dayz mwendo mdundo kk
labda maeneo yanatofautiana....Inawezekana siku ile ulikuwa na Ukweli fulani maana mm ninazo complaints kama 3 kwamba inadisconnect now and then
Kuna mabaye niliweza solve lkn It seems hawa jamaa wameanza kubana Speed Pia
Maana mm nilikuwa napiga kitu mpaka 1MB/s lkn sasa hata 700kb/s imekuwa shida
site gani hiyo mkuuMe kwangu mwendo ule ule...On average napata 700KB/s - 1.1Mb/s.
Hata sikumbuki ni lini nilidownload movie cuz huwa naangalia movies na series online tena zile za BlueRay na HDTV...
Pia nastream a lot of Live Tv channels kama MBC 2 na MBC Action zote in HD.
You can try changing the servers and find the one with the highest speed. Roaming nayo inasaidia sana kwa wale walio kwenye areas zenye poor network signal.
View attachment 112011
10k kwa kabaang au nn? Chakachua au wana bando la 10k?
funguka zaidi