pd proxy na tunnel guru ipi bora

pd proxy na tunnel guru ipi bora

willy ze great

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,083
Reaction score
1,328
wanjamvi naomba kuuliza kati ya hizo kama uzi unavosema ip bora, ipi ina speed nzuri kuliko nyinngine.
 
wanjamvi naomba kuuliza kati ya hizo kama uzi unavosema ip bora, ipi ina speed nzuri kuliko nyinngine.

Wote wanatumia Dedicated servers hamna anaetumia VPS hivo usitegemee speed zitofautiane

Kama unapenda VPN zenye speed kali na zenye kuheshimiwa
1.PIA VPN
2.TorGuard
3.IP Vanish
4.Cyberghost VPN
5.Do it your self(DIY)
6.Express VPN
7.Hide my ass
8.Cactus VPN

etc

Kuna na zile za Free
1.HSS
2.Security KISS

e.t.c
 
wanjamvi naomba kuuliza kati ya hizo kama uzi unavosema ip bora, ipi ina speed nzuri kuliko nyinngine.

>>Je unaswali la ziada tukusaidia, Njunwa kamaliza tayari

>>Nyongeza Ni idadi ya servers kulinganisha na idadi ya watumiaji. Mfano PD proxy ina servers chache ukilinganisha na TG vpn tunnel. Hivyo hapa chaguo ni tg utapata speed nzuli kwa maana yakuwa na watumiaji kidogo.
 
>>Je unaswali la ziada tukusaidia, Njunwa kamaliza tayari

>>Nyongeza Ni idadi ya servers kulinganisha na idadi ya watumiaji. Mfano PD proxy ina servers chache ukilinganisha na TG vpn tunnel. Hivyo hapa chaguo ni tg utapata speed nzuli kwa maana yakuwa na watumiaji kidogo.

server kibao majina zaid ya nusu hazifany kazi halafu ni repitition ya nchi zile zile
 
Murangira: Napata shida sana mtu anapotoa mawazo tofauti na mtu mwingine basi ameshakuwa mwanachama wa chama fulani. Sio wote wanaoisema vizuri serikali au kukashifu viongozi wa upinzani basi wamekuwa wanachama wa chama tawala. Pamoja na upungufu wa hoja (japokuwa mimi sijauona) za Mzee Mwanakijiji, hii haiwezi kuwa ushahidi kwamba yeye ni mwana CCM.

Kuhusu mada, mimi nafikiri Seif ana haki ya kusema anachokiamini. Ana haki pia ya kuweka ajenda zake mezani kwa ajili ya mjadala. Hayo ndio madai yake. Ubaya na uzuri wa madai haya, hicho ni kitu kingine. CCM nao wanapaswa kuweka mezani hoja zao/ au madai yao kwa ajili ya mjadala. Then wayajadili ili kufikia mwafaka. Hivi, Mwanakijiji kama Seif na CUF wanaamini kwamba waliibiwa kura na kwamba uchaguzi haukuwa haki wala huru, ulitaka watoe madai gani kwa Kikwete. Ninaamini pia kwamba Seif na CUF wana haki ya kutoa muda kwa Kikwete kushughulikia huo mpasuko ambao Jyeye ameukiri tena bungeni. Ana haki ya kudai kabisa kwamba hili jambo lazima lishughulikiwe kwa muda mzuri. Kumbuke 'right delayed is right denied'.

Halafu madai yako ya kwamba Seif aachie madaraka kwa sababu etu kakaa muda mrefu madarakani haina nguvu. Kama wana CUF wanaendelea kumchagua kuwa kiongozi wao na kama Katiba ya CUF haiweki ukomo wa kugombea urais miongoni mwa wanachama wake, sioni tatizo la Seif kuendelea kugombea urais au kuendelea kuwa kiongozi wa CUF. Kuna viongozi wengi hapa duniani waliokaa madarakani muda mrefu na wakafanya vizuri sana tu. Wapo wengi pia waliokaa muda mfupi madarakani lakini wakawaletea watu wao madhara makubwa. Narudia mfano wangu wa kule BCS. Rais wa sasa wa Senegal alianza kugombea urais tangu akiwa na umri wa miaka 35. Aliendea kugombea maisha yake yote hadi aliposhinda urais akiwa amefikisha miaka 70. alitumia miaka 35 kuusaka urais kwa tiketi ya upinzani. Alikuwa na vision na chama chake na nchi. leo katika urais wake ameipaisha Senegal kuwa moja ya nchi zenye mafanikio makubwa kiuchumi na kisiasa sio tu katika Afrika, bali katika nchi za dunia ya tatu.

Mwisho, Murangira: Usisahau kuwa Seif si kiongozi wa CUF tu. Akigombea urais anatafuta uongozi wa nchi yenye wanachama wa CUF na watu wengine pia. Hatafuti ukiongozi wa CUF, huo alishaupata, anao.Anapotafuta uongozi wa nchi, anatafuta uongozi wa watu wote. Kwa hivyo nyie wana CUF hamuwezi kummiliki mtu anayetafuta kutuongoza sisi sote. Tuna haki ya kumjadili kabisa huyu kwa mabaya na mazuri yake. Hatujakosea kumjadili huyu. Hivyo huna haki ya kumzodoa Mwanakijiji kwa kuanzisha hii mada.

Jamiiforums imekuwa je nataka ku mquote mtu JF Tech naletewa mtu mwingine jukwaa la siasa
 
chief good observation server zake zinajirudia mfano Canada HTTP 70.38.42.92 Hiyo hiyo ndo Canada UDP/ICMP
 
Back
Top Bottom