Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..

Nakumbusha tu kwamba vyuo vinavyofanya MD program hapa TZ havifiki 10 kwa idadi so let's say at maximum chuo kimoja kina hold 300 students each year which means TZ nzima ni watU 3000 tu watasoma MD kwa huo mwaka
ELIMU NI NGUMU
ELIMU NI UTAPELI
ELIMU NI KIKWAZO CHA MAENDELEO BINAFSI
Binafsi kemia ndo ilkua uwanja wang wa kupumzikia ila hyo physics aisee.. ilkua kama swali hujawah kukutana nalo b4 af ukalikuta kwmy pepa kulipata we mtabe haswa... somo lina mambo mengi aisee