Boney E.M.
JF-Expert Member
- Jan 22, 2007
- 425
- 36
SaharaVoice,
Kwanza kabisa ndugu yangu ngoja nikuukize swali hili "Je utamwamini yule aliyepewa nyeti azitunze asimpe mtu halafu akakumegea na kukwambia kuwe iwe siri kwa vile aliyempa hizo siri alimwambi ni siri na hatakiwi mtu mwigine ajue; ila kwa vile wewe ni mshikaji nakumegea ila iwe siri!" . Haya nimbie mwenzangu kuna siri hapo? Wewe siyo custodian wa siri za SIRIKALI na bado watamani kuzipata ili iwe nini? Siri za serikali ni za serikali sio za kila mtu!
MENOSUGU
Jamani,
Si amesha jieleza? mwenye facts alete ku counter his claim! kama hatuna tukae kimya! naamini US sio taabu kupata nani anamiliki nini, sasa tatizo lipo wapi?
Au mimi nimepitwa kidogo na yanayoendelea?
Bongo tukiwa na watu angalao 30% machachari kama Kitila Mkumbo hapo tutakuwa mbali sana. Kwanza haitaji kuficha jina lake halisi. Big up man!!
Tuleteeni hizo siri wengine tuzimwage hapa. Kama nilivyoandika mwanzoni, sijali mleta siri ana motives zipi, ninachojali ni ukweli wa hizo siri. Kitu ambacho sitaki ni kuwachafua kwa makusaudi watu ambao wanachapa kazi, kama walivyomfanya yule jamaa wa wizara ya elimu.
Kwa kusoma ujumbe wako naona uko tayari kulinda hata uovu kwa kisingizio cha siri ya serikali, kwa kufanya hivyo na wewe utakuwa fisadi. Tukikujua tutakuumbua tu bila kuogopa.
Kwa mujibu wa taarifa za gazeti la sunday citizen la jana waziri wa utawala bora alinukuliwa akisema kuwa serikali itachunguza madai yanayosambaa kwenye mtandao juu ya mkurugenzi mkuu wa PCB akituhumiwa kula rushwa kubwa kubwa.
Swali la kujiuliza je?atachunguzwa na nani?
Pili je?huu sio wakati muafaka akatoka kazini na kuanza kuchunguzwa sasa?
Inawezekana serikali ikachunguza kweli? kwani hapo patatokea mambo mengi na ya ziada juu ya ufisadi huu.
Tembelea www.citizen.co.tz kwa taarifa zaidi. nenda kwenye sunday citizen then itakuta.
Mpakakieleweke,
Yaliyosemwa na waziri wa utawala bora ni mambo mazuri kama kweli yakitekelezwa. Lakini mi nafikiri tusijiweke tena katika situation ya kuamini yasemwayo na hawa jamaa, kwa sababu tuna mifano halisi mingi tu ambayo tumei-face katika siku chache zilizopita. Give them 2 weeks halafu uje kuona jinsi watakavyojichanganya baada ya Kingunge kuja kuzungumzia suala hili, then Makamba, then JK. Hawa jamaa bwana wana historia ya kutoa statements zinazopingana. Give them time before you hurt your emotions further.... Hawa jamaa wana history ya kutokua na collective statement.. Na hata wakija itoa hiyo collective judgement, on top of that, pia tatizo lao jingine la kihistoria nalo linakuja ----- kwamba they never implement what they say..
Kenya: Corruption Perceptions Index 2007 may stop Kibakis re-election
2007-10-18
Less than 100 days to the Presidential election Transparency Internationals flagship Corruption Perceptions Index (CPI) for 2007 has been published. Kenyas score of 2.1 out of 10 (rank 150 out of 180) would be classified by Transparency International as indicating rampant corruption within the Government of Kenya. Not for the first time Kenya is the lowest ranked East African Community country, but what will shock some is that Kenya is for the first time lower ranked than Nigeria and apparently as badly regarded as Zimbabwe.
http://www.marsgroupkenya.org/users/?p=70
Kenya: Parliament forgives looters of billions prior to 2003
2007-09-13
The final gambit has commenced. The Parliament of Kenya has given corruption perpetrators an amnesty for corruption committed prior to May 2003. In the Statute Law (Miscellaneous Amendments) Bill 2007, approved by Parliament on Thursday 6th September 2007 and moved by the Attorney-General and the Minister for Justice and Constitutional Affairs, was an amnesty provision that hitherto had attracted almost no public comment.
http://www.marsgroupkenya.org/users/?p=69
Kenya: Report reveals scale of corruption
2007-09-06
The scale of corruption carried out in Kenya by family and associates of its former president, Daniel Arap Moi, has been revealed in a secret report which alleges that more than £1 billion of government money was stolen during his 24-year rule. Mr Mois regime, which came to an end in 2002, has long been regarded as one of Africas most corrupt, but the extent of the graft has never been exposed in so much detail.
http://news.independent.co.uk/world/africa/article2917392.ece
Kenya: Grand Corruption: Kibaki must account - Civil Society
2007-07-27
Mwai Kibaki has once again demonstrated his complete lack of commitment to fight corruption and, even more, that he is a beneficiary of it. The Anglo Leasing and the corruption scandals of Moi, and Kenyatta before him, will remain unresolved so long as Mwai Kibaki is the President. His continued dalliance with Daniel arap Moi is proof enough of his going back on his word to Kenyans that Corruption will cease to be a way of life in Kenya.
http://www.marsgroupkenya.org/users/?p=55
The looting of Kenya under President Moi
The missing Kenyan billions. A suppressed report into Presidential corruption
2007-08-31
The intricately detailed report, commissioned by President Kibaki after his 2002 election victory but later suppressed, forensically investigates corrupt transactions and holdings by several powerful members of the Kenyan elite. The figures in the report sum to billions of US Dollars - comparable in magnitude to the looting of infamous kleptocrats such as Mobutu (Zaire), Marcos (Philippines), Abacha (Nigeria), Suharto (Indonesia) and Fujimori (Peru). The leaked material is extremely politically sensitive. Ex-President Moi has become a key player in political life in Kenya, and is now an essential pillar in President Kibaki's campaign for re-election in December 2007.
https://secure.wikileaks.org/wiki/KTM_report.pdf