Kwa maneno yao nilidhani wanamaanisha wanachosema kumbe ni wasanii tupu! halafu hawana aibu wanajitangaza kuwa wao si waaminifu.mkuu..kwani uliwahi kuwa na imani na TAKUKURU?
Uwazi na uhakika kwa vyombo vya usalama? Ambavyo vinatoa ahadi ya kutotaja jina la mtoa taarifa? Huu ni utani!Uwazi na uhakika!
DR Kitila hawa wametuangusha sana. Hatuna chombo cha kupambana na rushwa. Ni usanii tupu. Hawa wanachezea pesa zetu tu pamoja na shida zote tulizonazo nchi hii.Kumbe ulikuwa bado una imani na hawa jamaa? Pole sana!
Buchanan hili unaamini ni suala la mtu mmoja kutoa taarifa kweli? kama ni hivyo nitafurahi kusikia huyo anawajibishwa na Takukuru wenyewe. Lakini kwama na wewe unatetea uoza huu basi nyie endeleeni kuwapelekea taarifa mimi nimekoma. Hata nikiona unapewa au unatoa rushwa amini mimi MF nitakaa kimya. Wala usihofu!Suala la mtu mmoja kutaja mtoa taarifa ndio imekuwa SI UNIT? Inawezekana mtoa taarifa ameshajitangaza mwenyewe kwa hiyo hakukuwa na haja ya kuficha idnntity! Hukumuni kwa haki baada ya kuwa na data, si siasa!
Mahesabu njoo na hoja si hizi habari zako za kutungwa za zamani za kale kulikuwa na fisi na sungura tulizosoma darasa la kwanza miaka yeetu. Unachozungumza wala haki relate kabisa na hii topic.BUCHANAN WAAMBIE HAWA WASIOTUTAKIA MEMA.......! UOZO WA MTU MMOJA SI UOZO WA TAASISI YOTE..........MBONA MBUNGE MMOJA WA CHADEMA ALIKUWA ANATEMBEA NA MKE WA MTU (mbunge mwenzake) MPAKA HALI IKAWA TATA, NA MAMA WA MBUNGE HUYO AISHIYE KINONDONI(WAKATI HUO SIJUI KWA SASA) alikuwa akijitapa kuwa mtangazaji huyo maarufu ataachana na mumewe na kuolewa na kijana wake......huku akimalizia kwa mikogo HAPA NDO MWISHO WA RELI BWANA..........! je sakata hilo tukose imani na CHADEMA sababu ya mlafi mmoja?
Mchukia Fisadi suala la kupambana na rushwa si la TAKUKURU pekee! Mfano wako ni sawa na kusema kwa kuwa kuna baadhi ya wanajeshi wa JWTZ wanajihusisha na ujambazi, wewe ukiona nchi inavamiwa utakaa kimya bila kutoa taarifa popote! After all kwenye post yako #1 hapo juu hujasema kama TAKUKURU ndio waliomtaja mtoa taarifa. Practically, hapa kuna matatu: 1. Mtoa taarifa inawezekana anajigamba kutoa taarifa TAKUKURU (rejea Mh RA kuwasilisha madai TAKUKURU dhidi ya Mengi). 2. Mh Kagasheki kufanya intelligent guess (anawajua wabaya wake kisiasa). 3. Labda kweli m2 wa taasisi katoa data. Je, wewe umejiuliza hayo yote kabla ya kuhukumu TAKUKURU? Kama sio basi inawezekana ukawa na chuki binafsi! Otherwise, sikuelewi!Buchanan hili unaamini ni suala la mtu mmoja kutoa taarifa kweli? kama ni hivyo nitafurahi kusikia huyo anawajibishwa na Takukuru wenyewe. Lakini kwama na wewe unatetea uoza huu basi nyie endeleeni kuwapelekea taarifa mimi nimekoma. Hata nikiona unapewa au unatoa rushwa amini mimi MF nitakaa kimya. Wala usihofu!
Na naona hujasoma niliyoandika vizuri na si ajabu hutanielewa. Sina chuki binafsi na TAkukuru kwa sababu sijawahi kura wala kutoa rushwa.Mchukia Fisadi suala la kupambana na rushwa si la TAKUKURU pekee! Mfano wako ni sawa na kusema kwa kuwa kuna baadhi ya wanajeshi wa JWTZ wanajihusisha na ujambazi, wewe ukiona nchi inavamiwa utakaa kimya bila kutoa taarifa popote! After all kwenye post yako #1 hapo juu hujasema kama TAKUKURU ndio waliomtaja mtoa taarifa. Practically, hapa kuna matatu: 1. Mtoa taarifa inawezekana anajigamba kutoa taarifa TAKUKURU (rejea Mh RA kuwasilisha madai TAKUKURU dhidi ya Mengi). 2. Mh Kagasheki kufanya intelligent guess (anawajua wabaya wake kisiasa). 3. Labda kweli m2 wa taasisi katoa data. Je, wewe umejiuliza hayo yote kabla ya kuhukumu TAKUKURU? Kama sio basi inawezekana ukawa na chuki binafsi! Otherwise, sikuelewi!
Na naona hujasoma niliyoandika vizuri na si ajabu hutanielewa. Sina chuki binafsi na TAkukuru kwa sababu sijawahi kura wala kutoa rushwa.
Nimefikia conclution kwamba Takukuru walitoa habari hizi tokana na kauri zake mwenyewe kagasheki.
Hata hivyo soma na posts za wengine utaona halijawahi kumkuta huyu rafiki yangu tu. Yaelekea ni kamchezo ka kawaida.
Nitabaki nawaogopa takukuru kama ukoma.