PCCB na vyeti vya darasa la saba

Si uende baraza la mitihani, kwani umeenda na wakasema hakuna?
 

watakuwa walibadilisha jina. Hata mimi nlikuta jina mmoja la mwanzo, la pili limebadilishwa. ilikuwa kama sikosei ni 2008 pccb walitangaza jobu ikabidi niache kuaplai. afu hakuna picha kwenye cheti hicho pia ni bure.
 
vyeti vipo cha msingi kwenda kuvifatilia tu shule uliomalizia,mi cha kwangu nimeenda kukichukua leo hakuna mlolongo wowote dk 5 tuuu. nilimaliza 2001.:smile:
 
Mimi nimesoma mirongo/p mwaka1996,,wa mirongo jamani mnijuze.
 
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.

cheki na umri wako ndugu mana kwa aliyezaliwa mwaka 1985 ana miaka 28 ukiongeza na umri uliokuwa nao darasa la saba mwaka huo 1985 nadhani utakuwa nje ya vigezo vya umri
 
Hivi utaratibu upo vp jinsi ya kupata hiki cheti cha darasa la saba nataka nikifuatilie cheti changu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mi nilimaliza la 7 mwaka 1985 nimeenda wanasema vyeti miaka hiyo vilikuwa havitolewi.

vipo mbona mi ninacho nilipewaga kitambo mwaka huo huo 1985.
 
mi nilikwenda kwenye shule niliyosoma wakaniambia 1991 - 2003, walisitisha kutoa na wakaanza tena 2004.
na ili kukipata nitoe 10000 na kuleta picha 2 ili wapeleke maombi yakijibiwa nitakipata, au ndiyo desh.
 
Kwanza ujui kutumia lugha,wengine c mabibi wala mabwana,wengne n...unajua. Ushaur nenda kaonane na mkuu wa nchi.
 
Nimeenda leo kufatilia cheti shule niliyosoma...ckumkuta mwl.mkuu nikaomba namba zake walimu wakanipa...nikampigia akanipiga swali ulihitimu lini?...nakaniambia vyeti vipo niende j3 nikachukue...so jamani vyeti vipo twendeni shule husika tulizosoma tukachukue vyeti....ni hcho tu.
 
Wote tuliong'atua 1990 hatujawahi kuona kitu kama hicho.
 
Mimi1996 nimepata habari kwa mwl. Mkuu....so j3 nakifata anarau niwenacho tu.
 
Usiwe na wasiwasi nenda shule uliyo hitimu utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…