Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,273
- 89,332
Habari wakuu.
PCCB kama kitengo nyeti cha kupambana na rushwa, wanahitaji watu smart sana kuwaajili. (Tuondoe dhana kwamba kuna watu wanawekwa kwakua ni watoto wa vigogo au vinemo vitahusika, wote walio apply wana equal chance ya kuitwa interview na kupata ajira). Ili kutimiza adhma yao, hawa jamaa kwa kutumia agents wao walio sambaa nchini watafanya haya:
-Watakupeleleza hadi mtaa uliokulia. Hii itawasaidia wao kupata background yako. Je, utotoni ulikua na tabia gani? Mdokozi? Kiburi? etc. Hii itafanikishwa kwa cheti cha darasa la saba ulichowapa. So utakua easy to be traced. Kama pia umewahi wekwa jela, au kuhusishwa na kesi yoyote hapa mmh, wanaweza kuku-eliminate.
-Watatumia search engine kama Google kupata more details kuhusu wewe. Hapa wataangalia post zako facebook (Kama ni za kuropoka ropoka au za kitoto basi wanajua hutawafaa), Pia wataangalia una expose vipi details zako au mambo yako (Picha, au wale ukiwa unakula una post "karibuni wali nyama", au contact details zako unazi expose, watajua wewe sio agent mzuri), wale wamiliki wa blogs ambao wanatumia majina yao (mf: mimi at blogspot dot com) inaweza kuwa-cost, kwasababu wengi wenye blog chochote wakuonacho/wakisikiacho etc upenda kukiexpose katika media zao ili blog yao iwe famous. Pia wataangalia how smart you are kupitia posts ubazo comment facebook, au katika blogs mbalimbali. Kama wewe ni mdau wa zile page za "Utamu unakuja ****" utakua katika hali mbaya hapa.
Pia ukifanikiwa kuitwa Interview:
-Physical fitness itakua moja ya kigezo. Hii inaweza involve mazoezi (mf: riadha kuzunguka uwanja mara kadhaa) na walio physically fit na wakaonesha uwezo hapa watapewa kipaumbele. Hii issue kama police tu.
-Kwa wale wa ITs, lazima upewe/uende na computer na uwaoneshe kwa vitendo uwezo wako (Maybe ku-hack something or ku-trace some information) kama yalee yaliowakuta watu Wizara ya Nishati na Madini. So kama umeandika katika CV yako unazijua program/software/programming flani flani, nakushauri zipigie mazoezi practically mapema.
NB: Haya ni mawazo yangu Tu. Na sio kwamba kwa nafasi zote. Chache Tu.