harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,359
Huwa mm mwenyewe napata shida sana na hawa jamaa wanaojisifu ohh mara usalama wa taifa kama Yahaya
ooh mara sijui pccb hawa wengine wamejisahau hawajui kama wao ni watumishi wa umma kama ilivyo kwa kada nyingine
wamelewa madaraka yao.wanajiona mungu watu kumbe sio hivy wajirekebishe wawe kama watu wa kada nyingine kwenye
jamii