ANC-KWA ZULU NATAL
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 325
- 38
Ata hisa alizochukua rizwan Tanzanite One ambayo ni za makaburu nao wapo smart sio?kwa taarfa yako wapenda dili/rushwa wakubwa ni wahindi na makaburu fuatilia kwenye migodi uscheze muzki usioujua au umepewa buku 7 lumumba street uktumwa tumia na akili zakoMORINYO; Ndugu yangu NBC ni makaburu hawafanyi kazi kibongobongo.