Matokeo ya mwanafunz yanachangiwa na vitu vingi.Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4 kamaliza zamzam girls pale kapiga one ya 8, kaliii akiwa na A flat za masomo yote ya sayansi.
Cha ajabu kaenda form 6 PCB kaondoka na 2 ya 11 nimejiuliza sana dogo alichemka wapi na alikua vizuri tu PCB.
Haya tuje upande wa pili madogo wanaoenda kusoma PCM wengi wanatoka form 4 na ufaulu mbaya mbaya mfano 2 ya 18 ila akimaliza six unakuta ana 1 ya 5 au 4.
Hapa nazidi kujiuliza KUNA NINI KINAZUIA MADOGO WANAOPATA MATOKEO MAZURI FORM 4 FORM 6 PCB WANACHEMKA.
Ubora wa walimu, mazingira ya shule, utayari wa mwanafunzi kufaulu, nk
PCB ni moja ya combination zenye masomo yenye uzito. Urefu wa topics pamoja na uzito wake sio mchezo.
Kama alipata div 1 ölecek na akapata 2 advance sio mbaya amejitahid sana. Mtu wa HKL na H nyingine hawez kuelewa