Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,787
- 58,392
Ety seriously mi nasoma kama kuku atazaa vifaranga vyenye vishingo au laa..upuuzi wa shule ni kukaririshwa vityu ambavyo hukutani navyo kwenye maisha ya kawaida😄
Manina.... Yaani PCB kwangu ilikua jau sana nimeteseka mimi wakuu