PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,151
Umepiga SUA nn? Maana ndo zao hizo kufanya komoaHahaha ya mifugo sio mbwa mkuu, sema ni ngumu balaaa🥶🥶
Umepiga SUA nn? Maana ndo zao hizo kufanya komoaHahaha ya mifugo sio mbwa mkuu, sema ni ngumu balaaa🥶🥶
Ni SUA aiseee moto ulikuwa ni mkali balaaaaUmepiga SUA nn? Maana ndo zao hizo kufanya komoa
FB ni tamu kwa ajili ya udaku, umbea, mademu wa local (kienyeji) wenye gharama ndogo tofauti na ig ila sio biashara kitakulambaWalisababisha situmii fb
Hahaha SUA hicho sio chuo hiyo ni advance iliyokomaa koo. Gpa mna calculate kwa raw marks sio grade 🤣Ni SUA aiseee moto ulikuwa ni mkali balaaaa
Hahahah biashara kuna wale wanaijeria wa mzigo utauchukulia kenyaFB ni tamu kwa ajili ya udaku, umbea, mademu wa local (kienyeji) wenye gharama ndogo tofauti na ig ila sio biashara kitakulamba
Hao walikuwa wanalishwa na kukaririshwa namna ya kujibu mitihani, mm huwa najiuliza, ivi wale mabinti wa St Fransis huwa wanaishia wapi A level?Hiyo sio fact
Sisi tuliingia advance huku class yetu ilikuwa na watu wengi waliopiga one kali hasa kutoka private
Kutoka darasa hilo hilo (same combination) wale waliopata one kali tulikuwa tunawakimbiza na mwisho zillipatikana one tatu, wote ni kutoka day school O level na tulikkuwa na ufaulu wa kawaida (one za mwisho, two)
Hizo combination zinahitaji watu wa kazi,
Japo kwa sasa hazitishii sana
Dadeki we acha tu hahhaaHahaha SUA hicho sio chuo hiyo ni advance iliyokomaa koo. Gpa mna calculate kwa raw marks sio grade 🤣
To wa 2021 acsee PCB alimaliza st Francis csee 2018 alikua best student piaHao walikuwa wanalishwa na kukaririshwa namna ya kujibu mitihani, mm huwa najiuliza, ivi wale mabinti wa St Fransis huwa wanaishia wapi A level?
Hivi mnatoaga first class kweli?Dadeki we acha tu hahhaa
Zinakuwepogo ila ni wale wazeee wa muda wote msuliHivi mnatoaga first class kweli?
Bado haitoshi, ni sawa na kumiliki mpira kwa 90% muda mwingi alafu ukashinda 1 bilaTo wa 2021 acsee PCB alimaliza st Francis csee 2018 alikua best student pia
Mkuu ngoja nipumzishe hili fuvu 🤗Hivi mnatoaga first class kweli?
Hamna watu wanajua biology kama cbg mkuu... Na hyi ipo hvo shule zote mkuu ahahahah nyie kwa bios na chem aiseee mnauaMm biology ndo sehem ya kupumzikia, chemistry ilinifanya vibaya mno😄😄😄 SEMA nilisoma CBG
Two ya mwshoUlipiga ngapi pcb we dogo
Mie hge jamani ila nilipangiwa egm
🤣🤣🤣🤣PCM, 😄
Ulisoma ipi babeWalisababisha situmii fb
Ulisoma ipi babe
Kwanini iwe rahisi advance kuliko form four!?, Wakati form four ndo rahisi kimtazamo,ikoje hiyo mkuuKwa hiyo ndio umedraw conclusion?
Yaani wote wanasoma PC tofauti ni bio na Math
Bio ni somo la kusoma huku umerelax,
NB
Kufanya vizuri level moja hakumaanishi lazima ufanye vizuri level nyingine and vice versa is true
Halafu kwa sasa advance ni rahisi kufaulu kuliko form four, ni rahisi kupiga one kuliko form four