Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
Sijaviona aiseeIngia necta kila kitu kiko clear
Madaraja ya ufaulu yapoje mwaka huu?QT ni kwa masomo ya form 1&2 (kwa mwaka 1) pekeee ili kuwa na sifa ya kufanya paper ya form 4
PC ni kwa reseaters na waliofaulu QT
CWe unataka F au A??
Nipo PcDuh..!!! Kama hauna mood usisome tu
Moto wa PC upoje mkuuF 0-29
D 30-44
C 45-64
B 65-74
A 75-100
Hio ni both, PC and SC.
Ila kama ni mvivu wa kusoma usiguse moto wa PC. Siisahau mwaka jana (2016), nilikuwa PC. Nilipiga bonge la msuuli. Yaani ni msuli wa div one. Matokeo yake ikaja div two. Ila namshukuru Mungu.
Piga msuuli, kisha msuuli. Ukilegeza tu utaambulia mswaki.
Kisha nakutakia masomo mema!
Moto wa PC upoje mkuu
Moto wa PC upoje mkuu
PC ni mtu anayefanya mtihani wa CSEE, ambapo wengi wao hutumia mwaka mmoja katika kusoma syllubus ya miaka minne. Sasa moto unaanzia hapo.Moto wa PC upoje mkuu
PreshaaaaaPC ni mtu anayefanya mtihani wa CSEE, ambapo wengi wao hutumia mwaka mmoja katika kusoma syllubus ya miaka minne. Sasa moto unaanzia hapo.
Kiuhalisia yule mwanafunzi wa kidato cha nne aliye-cover ipasavyo sylubus za kidato cha kwanza hadi cha tatu, bado hana muda wa ku-relax, katika kumalizia sylubus ya kidato cha nne, na marudio ya nyuma.
Sembuse yule PC anayesoma mwaka mmoja mambo ya miaka minne?
Hapo ni lazima itumike nguvu ya ziada, ili kiumbe hiki kifanikiwe. Hakika moto unaanzia hapo.
Ulirudia masomo mangapF 0-29
D 30-44
C 45-64
B 65-74
A 75-100
Hio ni both, PC and SC.
Ila kama ni mvivu wa kusoma usiguse moto wa PC. Siisahau mwaka jana (2016), nilikuwa PC. Nilipiga bonge la msuuli. Yaani ni msuli wa div one. Matokeo yake ikaja div two. Ila namshukuru Mungu.
Piga msuuli, kisha msuuli. Ukilegeza tu utaambulia mswaki.
Kisha nakutakia masomo mema!
Nilifanya masomo nane(8), ikiwemo la dini na ya sayansi.Ulirudia masomo mangap
kwa mwaka jana ilinigharimu sh.231,000. Hio ni pamoja na elfu 30 ambayo ni malipo ya maabara endapo unafanya masomo ya sayansi.Garama zake zipo vp kwa PC
Kwenye shule za serikali na binafisi (net cost)?
Komaa sana Dogo usichekecheke na School Candidate, wao wana muda wa kucheza sababu wana Continous Assesment. Piga msuli haswa.Nipo Pc