kunguni masta
Senior Member
- Sep 10, 2016
- 140
- 180
Mvumilie tu mkuu uwenda na yeye yamemkuta huko pbz BankKuwa mstaarabu Tafadhar
Mvumilie tu mkuu uwenda na yeye yamemkuta huko pbz BankKuwa mstaarabu Tafadhar
Ex-Banker,Ni kweli aiseee sijui hizi bank imekuaje hela za kukopesha watu hakuna kabisa si PBZ tu hata NBC na CRDB ni changamoto.benk pekee unayoweza kupata pesa kwa haraka ni NMB tu kwa sasa