Paypal inafanyaje kazi aliexpress na ebay?

Paypal inafanyaje kazi aliexpress na ebay?

Kwa hyo mkuu mfano, umefanya manunuzi na kwenye shipping address inajulikana mahali ni Tanzania na mkoa ni Dar na huna postal box, mzigo utafikia posta? Na pia hawa Ali express huwa wanatoa tracking option ya mzigo wako?
Yes kama ulichagua option ya posta... itafikia posta dar... kama mikoani nadhani inaletwa kwenye posta kubwa hapo then unataarifiwa
 
Yes kama ulichagua option ya posta... itafikia posta dar... kama mikoani nadhani inaletwa kwenye posta kubwa hapo then unataarifiwa na tracking namba inategemea... kama free shipping mara nyingi hawatoi ila kama umelipia huwa wanatoa...
 
Mzigo mkubwa unakua katika namna ya bei yake au uzito wake

Plllz mkuu naomba na mifano ya hiyo mizigo af agiza na kinywaji bariiid mi ntalipia
Labda niseme pia inategemea ndani kuna nini... coz saa nyingine inabd waifungue kuhakikisha... mara nyingi ni zote weight na volume.. na kulipia si kila mzigo unaweza kuwa mkubwa na usilipie kutokana na bei ya bidhaa... ila wakiona mzigo mkubwa au mzito na bei iliyokuja nayo ni ndogo wanaeza fungua... waka uplift bei kutokana na bei ya soko ya bidhaa...
 
Ebay Karibu trusted sellers wote Wanakubali Payments through PayPal, Kule aliexpress ni alipay tu au utumie direct method ya Kuingiza details za debit card yako visa au master, Sikushauri uchanganye Kadi unayotumia Kufanyia saving Hela zako, Chukua cash card apo Banc ABC unakuwa una deposit Mkwanja then Unanunua kitu inabaki au na amount kidogo the same deposit ABC ni via tigo pesa,mpesa, Kuwa makini na sellers wa ebay ambao hawalipwi kwa PayPal angalia feedback Percentage kabla hujaamua kununua kitu aliexpress soko lake sio trusted japo mimi almost mizigo yangu yote nilionunua inafika
 
Kama ni dhl ... wenyewe watakupigia simu wakupe na gharama za kuutoa mzigo... income tax na vingine...wao huwalipi gharama zozote maana utakua ushalipia wkt wa manunuzi... ni kodi tu ambazo zitahitajika.... hata posta nako kodi ni hyo hyo.. . kama sijakosea jumla ya kodi zote (income tax na nyinginezo) ni 44.5% ya bei ya bidhaa uliyonunulia
Ha!ha! ""Income Tax'' unajua maana ya hilo neno?
 
Nadhani Aliexpress is as trusted as ebay, na wanatumia mfumo wa malipo standard (Alipay) ambao ni 100% safe.Transaction yeyote nje ya mfumo huu hautambuliki na Aliexpress na hawatawajibika na tatizo lolote nje ya Alipay system.
Nimejikuta nina experience nzuri sana kwenye aliexpress kuliko ebay kwa usalama na pia kuna shipping options nyingi pamoja na bidhaa cheap ukilinganisha na ebay.
 
Unajiungaje na Alipay?
 
Nimejifunza mengi kupitia mkwanza.com.uriye post iyi PDF munguakubariki......
 
Nimejifunza mengi kupitia mkwanza.com.uriye post iyi PDF munguakubariki......
Amina, ila abarikiwe zaidi aliyeamua kuchukua muda wote,kukaa, kuandika yote hayo na hatimaye kushare na wengine uzoefu wake.
 
Kama ni dhl ... wenyewe watakupigia simu wakupe na gharama za kuutoa mzigo... income tax na vingine...wao huwalipi gharama zozote maana utakua ushalipia wkt wa manunuzi... ni kodi tu ambazo zitahitajika.... hata posta nako kodi ni hyo hyo.. . kama sijakosea jumla ya kodi zote (income tax na nyinginezo) ni 44.5% ya bei ya bidhaa uliyonunulia
Je ni lazima my bank account kua na fedha ya kigeni?
 
Hapana.... unatumia tu hizi visa au mastercard zenye tshs. Wakati wa manunuzi kama unatumia paypal au nyingine itakata tshs kutokana na rate ya dola.
Nashukuru sana ndugu yangu n napenda majibu yako

Be patient

Hiv kati ya ebay na aliexpress ip nzuri kuitumia na ip ni salama zaid

Gharama za kufungua box posta ni kias gani

Naomba nivumilie ndugu yangu
 
Nashukuru sana ndugu yangu n napenda majibu yako

Be patient

Hiv kati ya ebay na aliexpress ip nzuri kuitumia na ip ni salama zaid

Gharama za kufungua box posta ni kias gani

Naomba nivumilie ndugu yangu
Mmmh inategemea na mtu... mie kwangu ebay na amazon ni bora kuliko aliexpress. Nadhani pia inategemea na aina ya bidhaa unazohitaji. Ila nimeona pia kuna mtu amesema aliexpress ni bora zaidi.
Kuhusu box unaweza kupata posta karibu na unakoishi... mizigo ikifika headoffice huwa inaletwa kwenye box lako unless wakwambie ukafate kule. So jaribu karibu na home ukikosa basi nenda makao makuu nadhani watakueleza pa kufungua.
Gharama wala sio kubwa... mie nalipia sio zaidi ya elfu 15 kwa mwaka ya private. Sasa cjui kma gharama ziko sawa kote
 
Back
Top Bottom