Nina CRDB master card, kujiunga payoneer natakiwa na hii ya CRDB ifanyiwe online activation.!?
Mkuu hiyo unaipata katika hatua ipi hasa?
Ingekua vizuri kama ungesema ulikua unafanya moja mbili then ukakutana na moja mbili..
By the way operating system ya Payoneer ni ya Ki Bank ya US, na US wanatumia Routing number na sio Swift Code!
Ulikua una link Payoneer na Local account? Kama ndiyo basi inabidi uende kwa local Bank yako na uwaombe wakupe Swift Code number!
Wakuu kwenye Swift/BIC unajaza nini?
Upo sahihi mkuu.Mkuu KakaJambazi , hapo simply jaza SWIFT CODE ya Bank yako husika kama alivyosema mkuu Powder .
Jinsi ya kuipata Swift Code ya Bank yako, ni either check kwenye website ya Bank husika, ama itafute kwenye google. Nimeelezea hapo juu post # 166.
SWIFT CODE ni nini ?
The acronym SWIFT stands for: Society for Worldwide Interbank Financial Telecommunication .
View attachment 584202
-Kaveli-
Upo sahihi mkuu.
Shukrani Mkuu.!Yes, ndiyo hivyo. Local Bank Account ili iweze kufanya any online transaction, ni lazima kwanza ifanyiwe 'activation' yaani 'iwezeshwe'.
So kama una Master/Visa Card, nenda kwenye local bank yako waambie kuwa unataka uwe unafanya online transactions, then card yako watai-activate.
Ikishakuwa tayari activated, sasa hapo upo huru kui-link na PayPal ama Payoneer, n.k ili kufanya online transactions ambazo ni Money Transfer (kutuma/kupokea pesa), Purchase (manunuzi na kulipa).
-Kaveli-
Wakuu "Fill the fields with Latin characters" Latin characters ndio inakuaje.!?
Nimefanikisha mkuu, wana review application wanadai, wamenitumia emailMkuu, tumia alphabet A to Z, isipokuwa J U na W.
Yaani hizo characters tatu (J, U, W) usitumie.
NOTE: For Payoneer Password, nadhani you need to include any CAPITAL letter from A to Z (excluding J, U, and W). Yaani changanya na herufi kubwa.
Hebu jaribu hivyo afu lete mrejesho.
-Kaveli-
Nimefanikisha mkuu, wana review application wanadai, wamenitumia email
Najazaje pesa kwenye hiyo accHabari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Weka digit tatu nyuma ya kadi yako huwa zipo sita weka tatu za mwishoWakuu kwenye Swift/BIC unajaza nini?
Kaveli Upo boss, Sasa ni link ACC yangu ya local na Payooner hii itaniwezesha kutoa pesa from Payooner to Local bank ama? Fafanua kidogoYes, ndiyo hivyo. Local Bank Account ili iweze kufanya any online transaction, ni lazima kwanza ifanyiwe 'activation' yaani 'iwezeshwe'.
So kama una Master/Visa Card, nenda kwenye local bank yako waambie kuwa unataka uwe unafanya online transactions, then card yako watai-activate.
Ikishakuwa tayari activated, sasa hapo upo huru kui-link na PayPal ama Payoneer, n.k ili kufanya online transactions ambazo ni Money Transfer (kutuma/kupokea pesa), Purchase (manunuzi na kulipa).
-Kaveli-
tatizo bei zao sasa...kuiactivate account yanga Diamond Trust waliniambia Tsh.150,000Yes, ndiyo hivyo. Local Bank Account ili iweze kufanya any online transaction, ni lazima kwanza ifanyiwe 'activation' yaani 'iwezeshwe'
So kama una Master/Visa Card, nenda kwenye local bank yako waambie kuwa unataka uwe unafanya online transactions, then card yako watai-activate.
Ikishakuwa tayari activated, sasa hapo upo huru kui-link na PayPal ama Payoneer, n.k ili kufanya online transactions ambazo ni Money Transfer (kutuma/kupokea pesa), Purchase (manunuzi na kulipa).
-Kaveli-
Naweza kuendelea kuitumia hiyo Huduma kabla ya kadi kufika. Na je ukijisajiri kama individual utaweza pata Huduma ya kulipwaHabari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Unaweza Mkuu, bila longolongo tena ukiwa popote pale, uwe Mpwapwike, Mwanza au China!Wakuu Powder na wengineo hivi naweza ku withdraw pesa kwa kutumia Local atm zinazo support Master card??? bei ikoje kwa kila muamala
Sent using Jamii Forums mobile app