Hivi mshahara wa Rais unawasaidia nini?
Onesheni mfano kwa kuweka wazi pay slips zenu kama si muhali.
Wanaolipwa mshahara na serikali wapo wengi ikiwa ni pamoja na wewe mwenyewe. Mbona hudai pay slip za watumishi wengine?
UKAWA mbona mnakwenda na siasa za matukio? Sasa Rais akikuonyesha hiyo salary slip yake utafanya nini wakati mshahara na marupurupu yake yapo kisheria na katiba! Wapinzani mnashindwa kupeleka hoja binafsi Bungeni ili mpate TUME HURU YA UCHAGUZI badala yake mnaenda kushupalia vitu alivyoibua CAG! Ukifika wakati wa Uchaguzi ndiyo mnakumbuka eti tumeshindwa kwasababu hatuna Tume huru!
Haikuwa April fools naona umesahau mkuuNyani ngabu kumbuka hilo tukio lilitokea pale clouds tv ktk kipindi cha 360 siku ya tar.01/04/2016. Ukikumbuka siku hiyo tar.01April huwa na matukio gani hupati shida...!!
Yaani wewe una chuki sana na Magufuli,ila ndo RAIS WA TANZANIA,nothing you can do,kwani mtu akiwa Raisi ndo ubinadamu unamtoka ama?sasa akienda bank mwenyewe kuna tatizo?kwani anavunja sheria za nchi?kuna sheria inayomkataza Rais asipige simu kwenye vituo vya habari?Magufuli ni mtu wa 'stunts'...
Mara kapiga simu kwenye TV..
mara apige simu tena ataleta pay slip
mara aende bank mwenyewe.....mradi kila siku ana 'new stunts'....
kila siku yupo kwenye headline...asipofukuza huyu kaibukia huku....
Ataweka tu,jamani kwani URAIS wake umefikia kikomo mpaka mnahofu kuwa hataweka salary slip yake?
UKAWA ndiyo wanaopiga kelele. Umemsahau Mwenyekiti wenu wa BAWACHA, Mdee naye si ameliongelea hili wakati ameenda Lindi hivi karibuni? Waambie wabunge wenu wa UKAWA wakazanie katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi badala ya kuyarudia yale ambayo CAG amekwisha yagundua! ( Mimi siyo CCM wala UKAWA lakini ningependa agenda ya Tume huru iishe kwa upinzani kupeleka Mswada Bungeni. Serikali au CCM hawawezi kuupeleka mswada wa aina hiyo Bungeni)Malipo ya viongozi wa umma yanahusiana nini na mambo ya UKAWA?
Pay slip yangu sio pesa ya Serikali, mshahara wa mkuu ni pesa ya umma, kana kwamba haitoshi, aliahidi kuiweka hadharani.
Sasa hivi muhimu kwenu ni nini? Salary slip ya Rais au Lugumi?Iliripotiwa kuwa alisema atafanya hivyo atakaporudi Dar kutoka huko alikokuwa mapumzikoni.
Kwa vile kesharudi kitambo na bado hajaweka, wengine ndo tumekumbuka kuwa aliahidi mwenyewe atafanya hivyo.
Hivi mshahara wa Rais unawasaidia nini?
Onesheni mfano kwa kuweka wazi pay slips zenu kama si muhali.
UKAWA ndiyo wanaopiga kelele. Umemsahau Mwenyekiti wenu wa BAWACHA, Mdee naye si ameliongelea hili wakati ameenda Lindi hivi karibuni? Waambie wabunge wenu wa UKAWA wakazanie katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi badala ya kuyarudia yale ambayo CAG amekwisha yagundua! ( Mimi siyo CCM wala UKAWA lakini ningependa agenda ya Tume huru iishe kwa upinzani kupeleka Mswada Bungeni. Serikali au CCM hawawezi kuupeleka mswada wa aina hiyo Bungeni)
Hukushukuru na kurdhika aliposema mshahara wake uliouhitaji kuujua bali ulitaka na posho, baadaye utataka ujue anazitumiaje.Rais Magufuli, wakati akiwa mapumzikoni huko Chato, iliripotiwa akinukuliwa kuwa akirudi Dar atatoa pay stubs za mshahara wake ili Watanzania anaowatumikia waujue.
Mpaka kufikia sasa, licha ya yeye kurudi Dar kwa zaidi ya wiki mbili sasa (niko tayari kusahihishwa maana siikumbuki vizuri tarehe aliyorudi), sijasikia wala kuona popote pale ambapo hivyo vitu alivyoahidi kuvitoa, kuwa kavitoa.
Naona hata watu walio wengi washasahau tena maana suala lenyewe hata halijadiliwi tena. Ni kama vile lishasahaulika....limekuwa upepo uliokwishapita.
Mimi hili suala siwezi kulisahau na msimamo wangu bado uko palepale. Watanzania walipa kodi wana haki ya msingi kabisa ya kujua pesa zao zinatumikaje.
Kwenye matumizi ya pesa za walipa kodi uwazi ni jambo la lazima.
Nasubiri kuziona hizo pay stubs za mshahara wa rais na asiishie hapo tu. Atuambie malipo yake yote yanayogharamiwa na walipa kodi.
Naamini yeye akifanya hivyo basi hata viongozi wengine wa umma nao wataufuata mfano wake.