Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

Unapoanza kutumia Unga utataka ufanye kwa siri watu wasijue hii hali upelekea mtumiaji kuanza kutumia kwa Dozi kubwa au kutumia zaidi ya uwezo wake haitochukua muda mrefu kwa mtumiaji gari kuwaka mapema sana na kwa kasi mno sasa haitokuwa tena siri hali uonekane wazi ni ngumu tena bila kujificha
Pauline Zongo: Mungu angekuwa binadamu, angekuja akashuka hapa akaongea, unajua kwa mfano ukasingiziwa kitu ambacho hujakifanya, inaumiza sana. Situmii Bangi, madawa ya kulevya. Pombe huwa nagusa nisiwe muongo.

Inauma sana , kwa sababu mtu anaongea kitu kama hicho. Twende tukapime si kuna maabara! Tukimaliza mtanlipa? Unanichafua. Hivyo vitu sivitumii, siwezi kumuogopa binadamu hata wakiongea si poa tu, Mungu nimemshirikisha.
 
Na alikuwa anabisha katu katu kuwa hatumiii angekuwa muwaz mapema tu angesaidiwa Nilikuwa nashangaa wasaniii wenzake wanamwacha tu
 
Yan ukitumia unga utaonekana tu ata Kama n tajir na mahela yako utaonekana tu unga haujawah kumuacha mtu Salama ukisema hutumii utakuwa unajidanganya mwenyew
 
Sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda kwa ajili ya wapumbavu walioamua kuharibu miili yao kwa upumbavu wao wenyewe! Ni nini kisichoeleweka kuhusu matumizi ya narcotics? Taifa lina mengi ya kufanya kuliko kupoteza resources na muda unecessarily.
Lakini si wote wanaofika kwenye hizo hatua kwa kupenda kwao, wako waliofikishwa huko kwa sababu tofauti, simtetei ila kama hatuna uhakika tusihukumu.
 
... 90% of our problems chanzo ni sisi wenyewe! Hilo neno ulilotumia ni kujaribu kutafuta wa kumtupia mzigo lakini kiukweli chanzo kikuu cha matatizo yetu ni sisi wenyewe! Alipoanza kutumia madawa ya kulevya kwa mara ya kwanza alishikiwa bastola?
 
Wengi wanaoacha huwa wanarud tena ktk hii hali ya uteja tena amuombe sana mungu wake as irud ktk hii hali tena,kapendeza sana kaonekana mmama na family yake
 
Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo tena ambae mwili wake ulidhoofu kwa madawa ya kulevya. Tasnia ya muziki ina ushindani mkubwa kwa sasa anaweza 'asitoboe' lakini inatoa faraja kumuona kwenye hali aliyonayo.

Pia, soma=> Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

View attachment 2009843
Kulia ni msanii Pauline Zongo kwenye picha ya karibuni baada ya kupata matibabu dhidi ya madawa ya kulevya

View attachment 2009845
Kipindi ambacho inadaiwa Pauline alikuwa anatumia madawa ya kulevya​

Hajapona huyo, ni suala la mda atarudi kule kule, chezea arosto ya sembe wewe
 
Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo tena ambae mwili wake ulidhoofu kwa madawa ya kulevya. Tasnia ya muziki ina ushindani mkubwa kwa sasa anaweza 'asitoboe' lakini inatoa faraja kumuona kwenye hali aliyonayo.

Pia, soma=> Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

View attachment 2009843
Kulia ni msanii Pauline Zongo kwenye picha ya karibuni baada ya kupata matibabu dhidi ya madawa ya kulevya

View attachment 2009845
Kipindi ambacho inadaiwa Pauline alikuwa anatumia madawa ya kulevya​
Ameshaota meno ya mbele au
 
Back
Top Bottom