Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

Sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda kwa ajili ya wapumbavu walioamua kuharibu miili yao kwa upumbavu wao wenyewe! Ni nini kisichoeleweka kuhusu matumizi ya narcotics? Taifa lina mengi ya kufanya kuliko kupoteza resources na muda unecessarily.
Mtu yoyote anaweza kuingia huko mzee

Inategemea uko kwenye wakati, akili gani

Wapo wahasibu, madokta, wachumi, marubani

Etc wanatumiaa hii kitu na kila mtu ana sababu

Ya kwann kajiingiza huko

Ova
 
Sidhani kama kuna haja ya kupoteza muda kwa ajili ya wapumbavu walioamua kuharibu miili yao kwa upumbavu wao wenyewe! Ni nini kisichoeleweka kuhusu matumizi ya narcotics? Taifa lina mengi ya kufanya kuliko kupoteza resources na muda unecessarily.
Umeongea kwa hisia inayoashiria kuwa wewe ni mtimilifu.
Hujawahi kukosea,
Hukosei na wala haitatokea kukosea.

Waveja.
 
... 90% of our problems chanzo ni sisi wenyewe! Hilo neno ulilotumia ni kujaribu kutafuta wa kumtupia mzigo lakini kiukweli chanzo kikuu cha matatizo yetu ni sisi wenyewe! Alipoanza kutumia madawa ya kulevya kwa mara ya kwanza alishikiwa bastola?
You see! We are working on assumptions unless you declare here you were there with her when she "decided" to start taking drugs. Otherwise, you are assuming just as I am assuming.
 
Ray c ,nae sijui kwa ss kazamia wapi,au kawa mama wa familia ,Kama ni hivyo ni bora iwe hivyo .hata huyu mdada aachane na mziki afanye maisha mengine ,akirudi kwenye mziki ,atarudi Tena kulamba unga....si huwa wanadanganyana pata stimu ili ujiachie jukwaani !! kiufupi Hana uwezo wa kuu handle mziki na mikiki yake,japo kipaji anacho!! aachane na mziki afanye maisha mengine !!
 
Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo tena ambae mwili wake ulidhoofu kwa madawa ya kulevya. Tasnia ya muziki ina ushindani mkubwa kwa sasa anaweza 'asitoboe' lakini inatoa faraja kumuona kwenye hali aliyonayo.

Pia, soma=> Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

View attachment 2009843
Kulia ni msanii Pauline Zongo kwenye picha ya karibuni baada ya kupata matibabu dhidi ya madawa ya kulevya

View attachment 2009845
Kipindi ambacho inadaiwa Pauline alikuwa anatumia madawa ya kulevya​
NDIO Nani hivyo mdada?
 
Njooni mumuokoe na Daz baba huku ataanza kuvaa chupi juu ya suruali muda si mrefu
 
Back
Top Bottom