Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

Conclusion
1. Maelezo ya katibu ni ya kuungaunga senseless.
2. Ukisoma between the line huyo dogo kafanyiwa huo ukatili waziwazi na si kweli kwamba wanasingiziwa.
3. Imani za kishirikina zitaendelea kututafuna. Ushirikina ndio msingi wa sakata zima.
 
Duh.. sio poa..
 
Yani kama ni kweli katudhalilisha pakubwa , haki itendeke
 
Katimuliwa uwaziri, limejichubua kama shumileta, sijui kwanini wanawake wakiwaga na vyeo wanakuaga na roho mbaya kweli yani aisee noma sana
Aliwahi kubakwa na kufanyiwa ukatili wa namna hiyo enzi hizo akiwa binti kijijini kwao Dareda. Naona ile kitu bado inamtesa kisaikilojia hadi kuamua kuwafanyia watoto wa watu ukatili huu wa ajabu
 
Aliwahi kubakwa na kufanyiwa ukatili wa namna hiyo enzi hizo akiwa binti kijijini kwao Dareda. Naona ile kitu bado inamtesa kisaikilojia hadi kuamua kuwafanyia watoto wa watu ukatili huu wa ajabu
Kumbe ni Idomaa Idorii huyu mwanamke ? Nimekanyaga sana huko idom, katesh, dongobesh nawajua hao watu…
 
Wewe unafikiri waliofanya hivyo chupa wataiacha tu izagae hovyo bila kwenda kuichimbia porini,labda wawe mabwege,au unafikiri aliyefanyiwa hivyo aliondoka na hiyo chupa
 
Nasikia huyo Mwanamke ni mkatili sana alimtimua mme wake kwa kumtolea Mguu wa Kuku miaka ya 2018 huko baada ya Muhuni mmoja wa Chama Tawala kuteka koloni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…