Paula anaweza kutumia urembo wake kama sehemu ya kujitengenezea future

Fumbokhan

Member
Jan 16, 2021
6
20
IMG_0871.jpg
Ukiachana na mengine, Paula bado anaweza kusimamiwa vizuri akawa anaingiza pesa huku akiwa bado anaendelea na shule. Mitandao haiharibu mtu ikiwa amepata muongozo mzuri wa kuitumia na asipopata muongozo mzuri inaweza kumharibu sababu watu wengi mitandaoni wanapendana pia kuona na kufurahia mtu akiharibikiwa

Kuna watu mitaani wameharibikiwa na hawapo kabisa mitandaoni. Kuna vijana wengi walilelewa geti Kali tena familia za kidini lakini bado wameharibikiwa kwa vitendo vya umalaya na madawa ya kulevya. Kwahiyo si kila wakati mzazi Ni wa kutupiwa lawama, Kuna wakati mtu mwenyewe anatakiwa kujitambua kujua zuri na baya. Kuna watu wazazi wao walikuwa makahaba ila wao wamejikuza katika maadili

Tukiachana na hayo, upande mwingine wa Paula ni binti mdogo lakini yupo potential sana katika glamour world/entertainment world
Ikiwa atapata usimamizi mzuri kuanzia wazazi na na usimamizi wa kikazi. Paula ametokea kupata attention mapema hata kabla hajamaliza shule na bila kuanza kuonesha kipaji

Watu wanaenda shule ili kuelimika na kuwa na kazi au maisha mazuri, Paula ameanza kuvutia makampuni
awatangazie bidhaa zao hivyo asivunjwe moyo bali awekwe sawa potential yake isipotee sababu hata akimaliza shule atahitaji kazi kupata pesa maisha yaende. Kuna wasomi wengi na degree zao bado ajira kwao imekuwa shida kupata hivyo Paula asikatishwe sana tamaa hata kwenye fursa

Lulu alipitia changamoto kubwa katika umri mdogo lakini wazazi walimuweka sawa bila kumkatisha tamaa ya kile alichokipenda zaidi(Sanaa) na Leo amekuwa role model na fursa kupitia Sanaa zimempa fursa nzuri lakini majaribu mazito aliyopitia wazazi wake wasingeangalia upande wa pili wangemkataza asiendelee na sanaa

Jenifer Kanumba alipata usimamizi mzuri wa wazazi na Sasa yupo chuo kikuu bila kuacha Sanaa ambayo inamuwezesha kujikimu.

Kylie Jenner aliacha shule akiwa na miaka 17 ili kuipa attention career ya reality star na fashion. Akapata usimamizi mzuri na Sasa Ni billionea kabla hajafikisha miaka 25. Biashara ya vipodozi kupitia mitandaoni ndio imempa hadhi ya bilionea

Wanamitindo wengi wa kimataifa husainiwa wakiwa na miaka 14 kuanza kazi huku wakiwa bado wanasoma shule kwa kupewa uangalizi mzuri. Ryan Kaji mtoto wa miaka 10 mwaka 2020 pekee aliingiza dola million 29.5 zaidi ya billion 60 za kitanzania kupitia YouTube na mwaka 2019 yeye pia ndie alikuwa mtu aliyeingiza pesa nyingi duniani kupitia YouTube. Hayo yamewezekana kupitia usimamizi mzuri wa wazazi baada ya kuona kipaji Cha mtoto wao wakaona wamtumie vizuri katika mitandao aingize pesa

Kwahiyo hata Paula asikatishwe tamaa upande mwingine ambao ana potential kubwa ya kuanza kuingiza pesa ikiwa atapata usimamizi mzuri huku anaendelea na shulen
 
Sio kwa Tanzania, atatongozwa na kuhongwa mpaka na wabunge na mawaziri mpaka aharibikiwe.

Mpaka akifikia umri wa miaka 23, "ENGINE" itakua ishachoka inamwaga oil kwenye exaust, itakua inasoma imeshatembea "KM 100,000", muda wa kufanyiwa serivce na over-haul. Shock-up za kila kona ya mwili zitakua zimetenguka kama "DALADALA ZA KWENDA BUZA".
 
Umesema kweli ila inategemea na akili za walezi wake na akili za mhusika mwenyewe.
 
Sio kwa Tanzania, atatongozwa na kuhongwa mpaka na wabunge na mawaziri mpaka aharibikiwe.

Mpaka akifikia umri wa miaka 23, "ENGINE" itakua ishachoka inamwaga oil kwenye exaust, itakua inasoma imeshatembea "KM 100,000", muda wa kufanyiwa serivce na over-haul. Shock-up za kila kona ya mwili zitakua zimetenguka kama "DALADALA ZA KWENDA BUZA".
Ukweli mchungu huu kama joto la kujifukiza
 
Lulu bila tukio la Kanumba,sijui sasa hivi angekuwaje.Lile tukio limekuwa kama shule.Ila upande wa wazazi Lulu kalelewa na mama yake na huyo mama yake alikuwa mlevi mbwa plus mcharuko,ila lile tukio ndio limeshtua Lulu,ila upande wa malezi Mama Lulu hajui kulea,walimwengu ndio walio mfunza Lulu.
 
Huyu dogo anapoteza muda kubanduliwa na macelebrity uchwara,Wazazi wake wamvue uraia wa Bongo wampe udachi akajiunge na Dada zake huko mambere. Akiendelea kuwepo Bongo hata mimi ntamrarua siku moja.
 
Kwa urembo wake anaweza kupiga pesa kwenye mitandao, kwa mfano kule XHamster.com kuna warembo kibao wanafanya live stream wajuba wanatuma tips. Kama mtu anataka private chat hapo ndio wanapiga hela nyingi.
Kweli kwenye internet kuna pesa, hasa kwa wadada.
 
Huyu dogo anapoteza muda kubanduliwa na macelebrity uchwara,Wazazi wake wamvue uraia wa Bongo wampe udachi akajiunge na Dada zake huko mambere. Akiendelea kuwepo Bongo hata mimi ntamrarua siku moja.
Best solution ndo hii, Mzee atumie nguvu kumsepesha mambele , bongo hapa hamna kitu hata mi akilegeza napita pyaaaaaaa.....
 
Back
Top Bottom