Stupidity has no limitations huku Sio fb na badooe wee kiazi...Mkuu nilikua nina pendekeza uwe na BIG skip,for every ten houses,watu watoe uchafu waweke humo,wewe unakua na magari makubwa yatakayokusanya huo uchafu huo kwenye skip..na kupeleka sehemu zilizotengenezwa kwa ajili ya uchafu...
Kama hutaki kujibiwa usingeleta upuuzi hapachukua time,sitaki kukuentertain wewe na upuuzi unaouandika,this post ni ya mwisho kukujibu....usinifuate tafadhali
Wee vepe wee unaingia gest halafu hutaki kuvua.. Ukiingia jf kubali yote ukiandika upuuzi utajibiwa upuuzi tuuuchukua time,sitaki kukuentertain wewe na upuuzi unaouandika,this post ni ya mwisho kukujibu....usinifuate tafadhali
Kama hutaki kujibiwa usingeleta upuuzi hapa
Wadugu mbona mwalumbana?
Namuweka Sawa silumbaniWadugu mbona mwalumbana?
You are totally wrongHawa watu wanafahamiana, maana si kawaida ya jf
Mfuate ofisi kwake umwambie....chukua time,sitaki kukuentertain wewe na upuuzi unaouandika,this post ni ya mwisho kukujibu....usinifuate tafadhali
Rebeca 83, unafahamu kuwa asilimia 80% ya uchafu unaozalishwa Dar haukusanywi kupelekwa dampo? Uliona kasheshe ya mkuu wa kaya kusema watu wafanye usafi, na kuishia kuacha marundo barabarani? Labda ndio maana ngosha hajasema tufyagie tena!
Ingependeza (sio kwa nyumba kumi, Ila zaidi ili kupunguza gharama za uendeshaji), Ila madampo yaongezwe Na miundombinu ya kufikia taka nayo izingatiwe.
Lalalala dreamland
Paul Makonda njoo huku