corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,665
- 3,385
Ha ha ha we hute ni kiboko,unawasumbua akili wakuu wa watu.niheshimike na nani mkuu, we unataka kuniheshimu kwani umekuwa mke wangu? mke wangu aniheshimu, mchepuko uniheshimu na wewe nawe uhitaji kuniheshimu? si ufala huo? mbona umeng'ang'ania sana kunishehimu? unatafuta nini mkuu?