Paul Makonda (RC), Naomba usikilize Kilio Changu juu ya Wanawake wa Dar es Salaam, Please

niheshimike na nani mkuu, we unataka kuniheshimu kwani umekuwa mke wangu? mke wangu aniheshimu, mchepuko uniheshimu na wewe nawe uhitaji kuniheshimu? si ufala huo? mbona umeng'ang'ania sana kunishehimu? unatafuta nini mkuu?
Ha ha ha we hute ni kiboko,unawasumbua akili wakuu wa watu.
 
au iwekwe sheria, mwanamke akivaa nguo zinazoonesha uchi wake apigwe viboko hadharani na wana jamii mara akionekana katika hali ya nusu uchi au uchi
 
Hiyo kazi ndogo sana ongea na watu wa haki za binadamu wawe kimya kisha uongozi wa serikali kimya, adabu ni siku tatu tu! maana hao ndo wanawatia kiburi.
 
narudi Majibu yako yanayokutoka Tu yanaonyesha Ni jinsi Gani Huna adabu na jamii inayokuzunguka . Huwezi kua Baba wa Famili na kama imetokea Hivyo basi Ikikua ni bahati au kwa shinikizo la umri au ndugu .. Pia sina Uhakika na malezi uliyolelewa au unayowalelea familia yako/kama ipo.

Mkuu acha kupanic, malezi bora hayapatikani kwa kupiga makelele jukwaani hapa ama eti kwakuiambia serikali ithibiti mavazi. Acha akili za kishamba na kama vipi rudi Makete wanakovaa nguo nne nne.

Uarabuni full time wamekava miili yao ila Malaya wapo wa kuzidi. Ntafute nkupeleke Egypt au hata hapo Dubai tu ukajionee.

Malezi au tabia njema haimo kwenye mavazi,its something naturally made up
 
Ila mi sijui hao wakoje jamani, mwenzenu naogopa sana kuvaa nguo fupi na kutoka kwenda kitaa. Ht nikivaa basi nakuwa niko ndani kwangu tu. Sijui ni ushamba wa usukumani, ila km ni fashion acha tu inipite.

Utakua na vimiguu kama njiti wewe..otherwise, stand up and declare what God has given you.
 
Rudi maporini ulikotoka mshamba mkubwa wewe..

Huyu jamaa hajui maana ya jiji. Mwambieni Kuna tofauti kati ya jiji na Kijiji. Hao wanawake ndiyo maua\mapambo ya jiji. Watu kutwa nzima mlimani city kwa ajili ya kujionea hayo maua halafu ww unaleta poyoyo hapa.

Watch them,let them take their ways..kwani wamekuita
 
teh teh teh ,utakua una ugonjwa wa mfadhaiko wewe hahaaaaaaaaaaaaaaa ukiona paja tu,wazungu haoooooo hahaaaa walah JF idumu.
 
Ha ha ha we hute ni kiboko,unawasumbua akili wakuu wa watu.
uyu jamaa alizidi, kila nikitaka kuachana naye ananifuatilia kwenye post zangu ati anataka kuniheshimu. hahaha. nimempiga kelbu moja kaenda kulala.
 
Wenzako wanaume wa Dar wanasema wanakula kwa macho na wanafurahia sana hali hiyo ndo maana wameshindwa kuwakanya dada na mama zao wanaotembea nusu uchi.
aliyekuambia nyie wa mikoani hawatembei nusu uchi nani??
Arusha, Tanga, Dodoma na Mwanza ushawahi tembelea hizo sehemu??
 
Mitaa ya Dar es salaam shida sana
cbbe60a572dce196b880f88fc610e34b.jpg
Haiwezekani. Acha mambo ya photoshop
 
Salamu za heri ya Xmas zikufikie.

Kupitia Mapumziko haya ya sikukuu naomba haya Mawili Kutoka Kwangu yakufikie na uyatafakari.

1. Swala la mavazi kwa Kina dada ,Aisee Mh. Labda utakua si rahisi ww kukutana na haya ila Ths is too much . Wanatutesa sisi kina kaka kisaikologia pia kutuharibia hata utaratibu wa Ibada kwa wakati mwengine

Mkuu wa Mkoa Nnachosema nasema kwa Majonzi na masikitiko makubwa .Vijana wako wa Dar es salaam WANATEMBEA UCHI.
Inafika Mahala hata Unaona Aibu ukiwa na mwanao au mzazi wako Jinsi Gani utapishana na hawa wanawake .
Leo nimekutana na mmoja Kavaa ndhani ni ni nguo iliyostahili kuvaliwa ndani ya vazi lingine,ni fupi na imembana mithili ya yale mavazi ya waogeleaji wa Olympic ..na ndani wala hajavaa kitu chochote hakika nilibaki nashika mdomo .

2. Hawa wanawake wanaokwenda "KUOA" Sijui kucheza ngoma ..wenyewe wanaita kwenda Kwenye "Shughuli", Mkuu wa mkoa hawa watu wanalidhalilisha Jiji letu. Mchana kweupe Wanatoa Makalio Nje ya madirisha ya dalala wako na Mavazi wanaita "Dira/Dela" ndani wakiwa Hawajavalia Kitu ,Huku wakipigiwa Ngoma na maturumbeta ...hawajali wanapita kwnye Nyumba za Ibada wala makazi ya watu wao ni Kukatika Vionu tu na kupepesa makalio,balaa zaidi uwakute Kwenye Foleni hapo ndio wengine wanashuka na kutikisa makalio barabarani kabisaaa .

Hakika Leo nimefedheheka sana, mbaya zaidi nilikua na mgeni wangu kutoka nchi za nje, hakuniuliza Wale wanafanya nn , lah hasha , Aliniuliza ni kwann wanafanya hivyo. ! Nilikosa la kumjibu.

Please Mkuu wa Mkoa Hizi ni salamu zangu kwako za mwisho wa mwaka.
Nnachfahamu Hakuna Jamii isiyo na maadali ,jaribu kuyaonya haya
Please please please .. Hatuwezi endelea kuishi kwnye Jamii yenye Maadali machafu namna hii , hata baraka nyingine huzuiwa kwa matendo haya.

Ahsante na nikutakie Heri ya mwaka Mpya 2017.

Kwanii YEYE HANA MOYOO WA BINADAMU

MTAMZEESHA KAKAYETU ANAMAMBO MENGI KUSAIDIA JAMII.. LABDA NIKUULIZEE HUYOO ULIEKUTANA NAEE UMEISHIA KUCHUNGULIA MPAKA NDANI UKAKUTA HANA KITU INGAWA SIJUI ULITAKA UKUTE NINI?? UMEMSAIDIAJE HUYO MANDELA.. NAKama ALIPITA IKAISHA UKUMSHAURI UNAHISI NANI ATAMSHAURI ZAODO YA WEYE MWENYE BAHATII
 
Atatue kero za uchafu, maji, biashara holela, usalama wa raia


karne hii kwenye ulimwengu huu udhibiti watu kwenye uvaaji?

Kama unatatizwa na mavazi nenda Zanzibar
Chinchilla jamani?sasa unaniumiza au vipi?kwa hiyo ukipita mbele yangu unatingisha nanihii na hukuvaa pichu nikuangalie tu huku naumia?
 
Unawaangalia hadi yanasogeaje si ugeuze shingo au uinamishe au?
Ningumu sana kugeuza shingo ukishayaona yanavyopishana mamii,yaani tunapata mfazaiko huku tunatamani na mate yanadondoka kabisaa,yaaani tunamvua kwa macho huku tulifikiria jinsi tunampapasa kunako nanihii,sio sisi ila jinsi tulivyoumbwa jamani,yaani tunapata ashki,kwa hiyo haizuiliki mfano,una kiu ya maji saana halafu uone mtu anakunywa maji,hapo lazima utamani upende usipende mamii.
 
Kila mmoja ashikamane katika kumwabudu Mungu kwa imani yake....maana hakuna dini inayoruhusu mwanamke au mwanamme kwenda uchi.

Na uchi umekuwa defined katika dini...mfano Uislam umebainisha uchi wa mwanamke ni mwili mzima isipokuwa uso na viganja vya mikono na wa mwanaume ni kuanzia kitovuni kuja chini mpaka kwenye magoti.
Hivyo kwa muumini wa kweli wa kiislamu atajisitiri...kwa yule firauni atatembea uchi........
 
Wa huko uwanja wa fisi tu wamemshinda.
Wapiga debe nao mbezi mwisho ni wengi kuliko magari
Aiseee. Hili la Mbezi Mwisho linakera. Asubuhi wale wapiga debe wa dALaDaLa plus wale wa mabasi ya mikoani, yaani wakikuona hata na bag la laptop, wanakugombania kama mwizi.
 
Back
Top Bottom