Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Kama ni kweli kwa ushauri ni afadhali wamfanye kama Polepole wakamuweke huko asifanye kazi Kwa kuingiliana na watu .

Labda wa mpe ubalozi wa mbali hukooo kama anataka kurejesha fadhili.
 

Ñafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ni nafasi inayomfaa mtu msema hovyo, Makonda anatosha kwa sifa hizo.

Nafasi ya ya Uenezi na Katibu Mkuu CCM zote waliopo wamepwaya sana.

Wakishamaliza kuteuana mjadala wa bandari unaendelea.
 
Back
Top Bottom