Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
Kujibu hoja au kutoa kejeli? Lini CCM ikawa na watu wenye hoja? Embu kitulize
 
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
kigogo na yeye ametabiri hivo
Screenshot_20230708-223207.jpg
 
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
Hakuna aliyewahi kubashiri Hatua za Rais Samia,so hata wewe hapa unaleta ni tetesi tuu.
 
Back
Top Bottom