Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

Mtu anayetuhumiwa na taifa kubwa duniani kukatisha maisha ya watu Leo una mweka kwenye serikali yako,Sidhani kama Mama anaweza kurisk Kwa kiwango hicho,
 
Hata kama sio Makonda ila nadhani ni vema Sukuma Gang wakalainishwa kisiasa. Makonda ni chaguo sahihi la kulilainisha Sukuma Gang. Ikumbukwe upinzani wa Sukuma Gang ni hatari kuliko wa CHADEMA
 
Mtu anayetuhumiwa na taifa kubwa duniani kukatisha maisha ya watu Leo una mweka kwenye serikali yako,Sidhani kama Mama anaweza kurisk Kwa kiwango hicho,
Kuna wakati hata zile tetesi unajikuta unaanza kuziamini!
Penzi ni kikohozi
 
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
Hivi nchi yetu ina matatizo gani jamani
 
Ana mikono 'iliyochafuka' ni mwizi na mporaji wa mali za watu!
Anyway, kama ni hicho chama sawa kwani wapo wengi kule!
 
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
wamlete tu ili wakumbushe machungu kwa wananchi kwa yale aliyowatendea. naona wanazidi kujimwagia upupu kwaajili ya uchaguzi wa 2025, watapata tabu sana.
 
Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.

Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.

Ngoja tuone!
Hivi watu hawamjui Makonda?!
Yule ni opportunists kama opportunists wengine tu, tena uwezo wake wa kufikiri mdogo mno mno. Alikuwa "akibebwa" na JPM tu kwa siri walizokuwa wanazijua wao.
 
Back
Top Bottom