Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,762
- 114,127
Nakupa maua yako!.Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.
Ngoja tuone!
====
Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
P