Au akapimwe mkojo.Kapimwe akili
Au akapimwe mkojo.Kapimwe akili
Makonda ,Uwe na akiba ya manenoNdiyo maana watu wa maana wameiasi JF kwa sababu ya watu kama nyinyi. Nimekutana na mtu mmoja Tweeter anauliza kama JF bado ina exist. Anasema kule kumejaa takataka!
Huoni aibu ,Sasa amekuwa kiongozi na anaingia kwenye vikao vya maamuziHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Ungemalizia, u hali gani Tanita?Uhali gani!
Zamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Usiyempenda kaja.
Naomba urudishe kadi haraka sana!!!?😃Zamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
Kwanza hii imelkuja kwa kuchelewa.Vijana machachari kama Makonda hawawezi wakapotelea hewani kirahisi.Kuna tetesi kwamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kesho atatangazwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM.
Makonda ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kujibu hoja pengine kuliko Wabunge na Mawaziri wote wa CCM.
Ngoja tuone!
====
Soma: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mwenezi CCM
Siasa ni game kama game zingine tu, tuliokaa pembeni tunaichukulia serious na hata kuweka chuki. Wenzetu wanapeana tu mda wowote.Nimechoka kabisa !
I have nothing to write
Kama nilivyosema never say never.Dunia inaendelea kuzunguka tu
Nimejaa tele.Shemela upo?
sawaHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Haya sasa hamia CUFHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
bibi vipi, wewe ndo unahamia cufHuyo wanachama wa CCM hatutaki hata kumuona CCM.
Kama mama anamtaka ampe kazi serikalini, kitengo maalum cha kudhibiti wasema hovyo.
Mama Samia leo kanifurahisha sana kwenye mambo ya DP World.bibi vipi, wewe ndo unahamia cuf
Bibi naye, badala ya kujibu swali anakuwa chawa wa mama. Bibi umepata shock ukawa mdogo kama sisimizi.Mama Samia leo kanifurahisha sana kwenye mambo ya DP World.
Reconciliation, mama kawasamehe wapinzani itakuwa hawa Sukuma Gang? mama anajuwa kuzitumia turufu.