GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu

Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===

Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.

Makonda ameeleza hayo leo, Jumamosi, Septemba 20, 2025, wakati wa maombi katika Huduma ya Radio Safina Mbauda, jijini Arusha.

Huku akitokwa na machozi, Makonda amesema nia yake ya kugombea ubunge ni kutimiza kusudi la Mungu lililopo ndani yake, huku akiomba waumini kumuombea na kujitokeza kupiga kura ili ashinde katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Amesema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu hapa duniani, wenye maono na wasiotanguliza maslahi binafsi, ili watekeleze matakwa ya waliowachagua kuwa kwenye mamlaka

1758369087363.png

Source: Mwananchi
 
Kusudi la Mungu ?

Si angegombea ukatekista au Mwalimu wa Madrassa; Sasa kama Mungu ndio amekusudia anahitaji msaada wa watu ili iweje ?

Yeye akipata wadhifa huo awakilishe watu wa hapo pamoja na matakwa yao hayo yake na ya Mungu unless yana-coincide ni immaterial
 
Mpuuzi mmoja chozi lake linabadilisha nini hapa Tanganyika??

Chawa ni chawa bora afie mbali nyanokoko!
 
Mwanaume aliyekamilika anaweza kulia baada ya kufiwa tu na mke wake aliyempenda sana. Na siyo kwa sababu za kipuuzi.

By the way, hiyo nafasi yenyewe ameipata kwa zengwe! Na hivyo akumbuke kama atapita, basi mwisho wake ni 2030.
 
Wakuu

Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi
===

Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo.

Makonda ameeleza hayo leo, Jumamosi, Septemba 20, 2025, wakati wa maombi katika Huduma ya Radio Safina Mbauda, jijini Arusha.

Huku akitokwa na machozi, Makonda amesema nia yake ya kugombea ubunge ni kutimiza kusudi la Mungu lililopo ndani yake, huku akiomba waumini kumuombea na kujitokeza kupiga kura ili ashinde katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Amesema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu hapa duniani, wenye maono na wasiotanguliza maslahi binafsi, ili watekeleze matakwa ya waliowachagua kuwa kwenye mamlaka

View attachment 3476579
Source: Mwananchi
😅😅😅😅
 
Huyo mungu wake ndie alimtuma ampige lissu risasi
 
Utabiri unaonesha serikali inayokuja ni ya Ukristo,
Je Saa100 atapinduliwa?
Je ni nani atakuwa raisi?
Shika maneno yangu, utakuja kuitafuta hii comment
 
Back
Top Bottom