Paul Makonda adaiwa kumtishia Maisha Salaah wa GSM. Polisi waogopa kumchukulia hatua Makonda

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.

Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.

Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.

Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.

Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah, We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.

Yule Salaah akapandisha mashetani ya kiarabu, weee akaruka kama swala hapo alipokuwa amekaa akamwambia Bashite, usinitishie maisha kama unataka kuniua niue, ila kukuogopa tena kama kipindi kile sifanyi tena, wewe amua unachotaka. Weeeee, Bashite nae akajifanya anapadisha wakataka kushikana mashati ndo watu kuwaamua.

Yule Salaah kafungua kesi polisi ya kutishiwa kuuawa ila polisi kimya maana mshtakiwa ni Bashte, wanaanzaje kum detain mwenezi wa CCM?
 
Haya jamani mpo?? Sasa ni hivi Bashite hajabadilika hata kidogo.

Kumbukeni mwaka jana kulikuwa na story kubwa ya Bashite kung’ang’ania nyumba aliyompora GSM kipindi cha Magu? Kama mnakumbuka hata majuzi tu Bashite aliongea kuwa na yeye kadhulumiwa nyumba, alikuwa anamuongelea yüke GSM wa Yanga. Sasa ni hivi aliesimamia zoezi zima la Bashite kuachia nyumba aliyowapora ni mdogo wake GSM Salaah . By the way nyumba anayoililia Bashite sio nyumba ya kitoto, nyumba ina lifti ndani.

Sasa ni hivi last week huyu Salaah alikuwa anafanya hayo mazoezi ya baskeli huko Masaki barabarani, na Bashite nae akawa anafanya mazoezi ya mguu yani kama ana powerwalk huku ndinga kubwa ya CCM inamfata nyuma.

Sasa out of nowhere gari iliyokuwa inamfata Bashite nyuma ikataka kumgonga Salaah,Salaah kama akakwepa na baiskeli yake then aka shout like wewe hunioni? Mbona huangalii watu barabarani? Basi dereva hakujibu akaenda mbele kama kuongea na Bashite then gari likarudi spidi likamblock Salaah kwa mbele, dereva akashuka akaanza kumchimba biti mdogo wake GSM sasa, wewe unamjua mwenye hii gari?! Unajua mimi namwendesha nani? Salaah akajibu kama unataka kunifanya lolote we fanya Ila mimi nimekwambia tu angalia barabarani. Basi dereva akachimba biti zaidi pale then akaondoka.

Sasa kuna kisehemu wanaendaga kula mishkaki baada ya mazoezi huyo Salaah baada ya kupata huo msala akaenda kula hapo mishkaki, hajakaa dakika mbili Bashite huyo kaingia hapo Kwenye hiko kisehemu, straight moja kwa moja kamfata Salaah,
We dogo wewe, jiangalie sana unavyoishi mjini. Unanijua mimi nani? Mi naweza kukufanya chochote na huna chankunifanya. Mimi naweza kukupoteza muda wowote. Aisee mbele za watu Bashite anatoa vitisho.

Ungetoa credit kwa dada wa taifa mange
 
DAB anafahamika ana swaga za kisukuma sana.

Ushamba ni mzigo.
 
Ukiambiwa udhibitishe kamtishia maisha una ushahidi? Na mashetani ya Salaah yalipanda kutoka wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom