Paul Makonda afunguka


Makonda v/s Lowasa ni sawa na willbaro v/s catapila, mdogo sana kwa Lowasa kila kitu, siouwezo, fedha, umuri, fikra, ukomavu n.k, sana Makonda anataka kupanda chati kupitia lowasa.
 
Ili

mngeondoa bendera ya taifa wakati mnavalishana viatu.Msitudhalilishie nchi yetu.

Wasengelenyuma Sana hawa jamaa, wamegeuza nchi ya kwao mazafanta kabisa hawa. Mi naenda kujiunga na wale jamaa kwenye mapango ya amboni nipambane kukomboa nchi yangu kudadadeki nina hasira kama nimemwagiwa maji ya battery. Huyu Rizimoko mwakani lazima tumle, aulize mtoto wa Ghadafi watu walimla kwanza ndio wakamuua
 
Ni aibu tubwa kuwa hawa vijana wanapewa majukumu makubwa kama haya huku wakiwa hawana historia yoyote na uongozi kabla na tena yenye uadilifu... na sidhani kama ni njia nzuri ya kupata viongozi wa kutumikia watanzania kwenye sekta mbalimbali...

ila kwa sababu anakwenda kufanya kazi ya ukada JK naona amelipa fadhila kama kawaida yake..

October 2015 itabidi tujitafakari tena tunataka Tanzania nyenye mwelekeo gani na ni mtu gani anafaa kuongoza nchii hii...

Ila nakiri kusema sitamkumbuka JK kwa lolote katika nchi hiiii...
 
Mambo ya Msingi; kama katiba Makonda hawezi kuyalinda, sasa atawezaje kuwatumikia watanzania wa Kinondoni; hebu angalia Katiba ya TAHLISO, aliifanyaje mpaka yeye kama waziri mkuu akagombea Urais, wakati katiba ilikuwa hairuhusu?

yoyote atakayepata jibu naomba anipe ili tuendelee na shuhuda za mengine
 
Jina Halali ni KONDA WA VIATU
 
Makonda kweli wewe ni kilaza lazima ufunge viatu ndo upewe mkuu wa wilaya mbona umetuletea aibu sisi vijana.
Malizia sentensi yako hapo kwenye red................... SEMA UMETULETEA AIBU SISI VIJANA WA CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…