md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Nimependa maneno ya Paul Kagame ameongea ukweli na siyeye tu bali ni jamii yote ya kimataifa wanasubiria huu uchaguzi kwa hamu maana sisi tumekuwa wakwanza kuwanyoshea wenzetu vidole utadhani sisi ni makaika!Haya sasa mpira huko kwetu kupiga penati je tutapaisha au tutalenga goli???
Kwanza sina hakika kama hiyo taarifa ni ya kweli! Lakini kama ni kweli, hilo kwenzi lipo wapi? Yeye anataka kuona ikiwa JK atakuwa tofauti na yeye au Nkurunzinza-- mpaka hapa tulipo tayari JK ameshajitofautisha na Kagame na Nkruzinza coz' wakati Nkruziza tayari ameshang'ang'ania madaraka huku PK na timu yake wakiwa mbioni kubadili katiba ili PK achukue msimu wa tatu; tayari JK ameshaonesha dhahiri kwamba anaondoka baada ya muda wake kwisha!
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
Mkuu KakaKiiza nina wasiwasi kama hiyo message ni kutoka kwa Paul Kagame, nimeangalia 'official twitter account' yake na sijaona hiyo post.
You may follow him at https://twitter.com/PaulKagame
And what if angesimamishwa mama yako?Hata kama angesimamishwa mama yako kama anafaa mimi nisingejali. Wasiwasi wangu ni wanapotumia kigezo cha kukariri kilometa za barabara kama uwezo wa kuongoza
Amejishtukia!
Ya zamani sana.... labda upekuwe kama miezi kadhaa nyuma
Kagame huna cha kutuambia wewe,kwanza umepindisha katiba,JK SIYO KAMA WEWE,MAANA YEYE MUDA WAKE UMEISHA NA ANAONDOKA,SASA KAGAME WEWE UMEKATAA KUWAACHIA WENGINE NA UTAGOMBEA TENA,HUNA TOFAUTI NA HYABIRAMA
info uzitoe wapi wewe, nenda kadanganye wenzako huko sio mimi. Bado una mambo ya kizamani ya kujifanya Mr. Someone hapa JF? Mambo hayo peleka jukwaa la MMU sio hapa.Angeondoka na kuruhusu uchaguzi huru na wa haki! Kwanini anajivika jukumu la tume! Na tuna info jinsi watakavyochakachua kura.... tena kwa kutumia nguvu
Kagame jembe wewe, usimlinganisha na huyu kilaza wetu. Vinginevyo rudi zako Conner Bar ukaendelee na biashara zako
And what if angesimamishwa mama yako?
Kwahiyo ulitaka CCM imsimamishe Mbowe, au?
info uzitoe wapi wewe, nenda kadanganye wenzako huko sio mimi. Bado una mambo ya kizamani ya kujifanya Mr. Someone hapa JF? Mambo hayo peleka jukwaa la MMU sio hapa.
Mkuu KakaKiiza nina wasiwasi kama hiyo message ni kutoka kwa Paul Kagame, nimeangalia 'official twitter account' yake na sijaona hiyo post.
You may follow him at https://twitter.com/PaulKagame
Wakati yeye na timu yake wanabadilisha katiba ili aendelee msimu wa tatu, JK anaondoka baada ya misimu yake miwili kwisha kwahiyo he's no match JK!