Kama kweli huyu bwana PK aliongea hivi, binafsi ni nchi za jirani R na B wanasubiri kwa hamu kujua kama kweli Chama Kaka kikishindwa kitakabidhi madaraka kwa chama mbadala ama ndo watatumia bao la mkono kuhalalisha ushindi wao katika uchaguzi huu!
Kiujumla nchi zote za jirani zinafuatilia kwa makini saana uchaguzi huu wa tanzania kwa sasa! Na pengine ni fursa sasa kwa vyombo vyetu vya habari kama startv, itv na hata tbc kueleza habazi za kweli kwa nini kinachotokea.
Anang'ang'ania Kuwa Kijiti Lazima Amuachie Magufuli ndiyo maana wanamfuatilia kwa Ukaribu au Kiingereza kinakushinda!
Allen Snr Aka KizimbuziUnafikiri Kikwete anvyoinua Tezi Dume lake na
Kutangaza Kuwa CCM itatumia kila njia kushinda
Uchaguzi tunazo mbinu zote na Maarifa hapo
wakina Kagame wanamfatilia kupitia vyombo vya
habari and Kikwete he is not willing kukabidhi
nchi kwa Upinzani na Demokrasia haiusishi katiba
tuu alichokia akijaribu hapo Kagame kua ajiandae
kisaikolojia kuachia nchi kwa chama cha
Upinzani.
Pia huu ujinga haupo tuu jamii forums nahisi hata huko unakotoka huenda ukawa unaitwa Jinga lao
Hapana Mangufuli siyo Engineer yeye alisimama kama Kinara wa Ujenzi wa madaraja na Barabara!
Inashangaza kuona form six failure freeman Mbowe ndie mwenyekiti wa CHADEMA taifa kuwaongoza wasomi akina profesa baregu!
Vipi pikipiki yako. Hujaekewa mafuta leo?Hahahahahaaa....ngoja TeamBuku7 waje na mipasho...!
"Preaching about Democracy is one thing but Practising it is another thing! As East African Countries members we are witnessing what's going on in Tanzania as they are heading to their General Election; So we are curiously looking forward seeing our best friend and the Presiding Chairman of our Community proving to us how Democracy is Practically adhered in Tanzania so as to differentiate himself from either me or Nkurunzinza!"
Kagame, Paul
SOURCE DW
Sasa umempendea nini Kagame? In terms of democratic leadership huwezi kulinganisha Tanzania na Rwanda.