Paul Kagame: Tanzania's own spy


Wewe acha unafiki wakijinga wewe mtusi unajifanya et uhusika wetu kwenda kigali ukaonje jotonya jiwe huko. Tanzania ni nchi iliyokuwa na mkakati wa ukombozi wa bara la Africa ndomana sehemkubwa ya Africa walisaidiwa kimafunzo na kijeshi ilinkuzikomboa nchi na sio ukoloni mambonleo kama hujui hilo
 
kwa maamlaka ya nani mnatoa siri za nchi nyie watu.some of us we heard not knew, but our mouths were shut.hebu tunzeni siri za nchi nyie watu.
 
Sijawahi kusikia Kikwete or Kagame kuzungumzia vita btn these 2 states lakini ukiingia Jf utafikiri kuna makombora yanasubiri amri kuanza kazi...hamna kazi nyie!!

It shows how patriotic we are.
our spirit for war is high and good to go,anytime anywhere.yaani mi mwenyewe hapa damu inanichemka haki ya mungu.cc watz wabaya cc.
 
Dah kuwa humu ndani ninapata mengi nisiyoyajua asante kwa taarifa
 

Hebu tukumbushane uhusiono wa Ze Mkapa na silaha za kutumika Congo kama walivyobaini kwenye sinema ya Darwin Night mare Mapaki kama sikosei
 
kwa maamlaka ya nani mnatoa siri za nchi nyie watu.some of us we heard not knew, but our mouths were shut.hebu tunzeni siri za nchi nyie watu.

Mkuu haya hata mimi nilikuwa cyajui lakini ukiona leo kina moshe dayan wana yaweka hapa jua umefika wakati wa kumvua nguo pk.inaonekana vyombo vya usalama vya tz vinamjua kinyume nyume.hii ni tactic moja wapo ya kum nutralize kiakili.
 
Mkuu huyo mdogo wake M7 ni Salim Saleh au?
 
...
.......................................................................
 
he was trained well ila na yeye ni kichwa sana, he became very famous in espionage na alikua mtu wa kuingia front kwenye raids with few but skilled soldiers

Waoh! Mzee, you are back! Tulimiss sana vitu vyenu na Jason Bourne. Mi nilidhani jamaa zenu wamewaulia mbali ili taarifa za siri zisitoke.
 
Ok...
Mwambie Kagame aende Hollywood akaigize Kubwa la Maadui..
Kwa CV hiyo uliyoiweka lazima wamchukue
 
nice try

bado vita ya propaganda hamuiwezi...kama kweli alikuwa mtu wenu it means mpaka DNA yake mnayo sasa

why not dump file lake lote la TISS kisha tuone mchele na pumba?


Hakuna kitu hapa

lete intel yenye kueleweka na sio hizi za kuunganisha uunganisha
 

..kwa uelewa wangu FIB ina mandate ya ku-disarm all negative forces.

..wameanza na M23 lakini hata hao wengine nao watafuatiliwa.

..Mugabe aliwekewa vikwazo vya uchumi na kijeshi wakati majeshi yake yalipokuwa DRC.

..Waingereza na Wamarekani walikuwa upande wa Rwanda na Uganda ili kumkomoa Mugabe kutokana na msimamo wake wa kutaifisha ardhi ya walowezi wa Zimbabwe.

..Sasa hivi Kagame yuko kwenye position aliyokuwa nayo Mugabe in 1999. Wamarekani na UN hawamuungi mkono ktk uvamizi wake DRC.

..Kagame asipokuwa makini anaweza kuwekewa vikwazo vya uchumi na kijeshi, ikitokea hivyo hataweza kupigana vita ya muda mrefu.
 

msiwe na wasiwasi.................... ATAITWA NA KUPIGIWA SIMU KAMA RAISI WA SUDAN IKISHINDIKANA .........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…